Kumbe miungu ya mvua bado inatumika Tanzania

Hao miungu wanao uwezo wa kufanya hizo mambo, hata miungu na wachawi wa misri walionyeshana makali na Mungu wa Musa. Musa akitupa chini fimbo yake inageuka kuwa nyoka, na wao wanatupa chini fimbo zao zinakuwa nyoka.

Lakini nyoka wa Musa aliwameza wale nyoka wa wachawi wa Misri, ikiwa na maana hiyo miujiza ya wachawi, waganga, walozi, miungu, sijui na takataka gani zingine si lolote mbele ya Mungu Mwenyezi...
 
Duh!.we jamaa nae nyuzi zako!. Inaonekana upo involved na superstition . Mana kwa muda mfupi nlokufahamu threads zako nyingi ni za kishirikina tu.

By the way hilo eneo ni kigoma sehem gani?
mapito ya mwanadam yana mambo mengi mkuu, nadhani hata wewe ukiamua kupost baadhi ya mapito yako kuna baadhi watakuchukulia tofauti kama ulivofanya wewe kwangu...
 
Wachawi sana watu wa maeneo hayo, na ndio maana vigumu kupata maendeleo.
 
Back
Top Bottom