Kumbe Mgodi wa Minjingu ni Hatari kwa Afya ya Binadamu

Wambugani

JF-Expert Member
Dec 8, 2007
1,757
276
Radiation alert issued over Minjingu mine

2006-05-14 16:41:12
By Adam Ihucha, Arusha

Phophate found at Minjingu Mine about 100 km west of Arusha has some elevated levels of dangerous radiation, the Tanzania Atomic Energy commission (TAEC) has said.

Briefing the visiting deputy Minister for Higher Education, Science and Technology, Gaudensia Kabaka, a TAEC expert, Firmi Banzi, said the radiation of Minjingu phosphate mine is very harmful to human health, if protective measures are not taken.

’’Taking into consideration the dangers of the radiation, TAEC after making the discovery, advises that appropriate measures be taken to protect all at the mine,’’ Banzi told the Minister at the weekend.

Research conducted in various parts of the world has revealed that materials with coal, phosphate, monazite and granite normally have elevated levels of natural radiation, explained, Banzi who is head of environmental of radioactive waste management directorate .
 
Pamoja na kuwa JK anaupigia sana debe mgodi huo kwa "interests" zake ukweli wa kitaalam unathibitisha kuwa madini ya phosphate yanayochimbwa hapo yaliyo na mchanganyiko wa uranium ni hatari:

"Tuesday, May 29, 2007
Mtaalam aonya kuhusu madini ya Uranium

Na Nyasigo Kornel

Watu wanaokaa katika maeneo yaliyogundulika kuwa na madini aina ya Uranium wako katika hatari ya kupata kansa ya mapafu inayosababishwa na hewa aina ya Radoni inayotolewa na madini hayo.

Mkuu wa Idara ya Jeolojia katika kitivo cha sayansi cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dr. Isaac Marobhe alisema hayo jana ofisini kwake katika mahojiano maalum na gazeti hili.

Dr. Marobhe anasema kuwa kinachofuatia baada ya sigara kwa kusababisha kansa ya mapafu ni hewa hatari ya Radoni.

Anasema kuwa mtu akijenga nyumba juu ya mawe hata kama yako chini sana, hewa ya Radoni hupenya na kujaza nyumba hata mkaaji anapopumua uivuta hewa hii.

“Nchini Marekani tu watu 160,000 hufa kila mwaka kutokana na kansa ya mapafu kati ya hao watu 21,000 wanaokufa kwa kansa husababishwa na hewa hii hatari,” alisema Dr. Marobhe.

Hapa Tanzania madini aina ya Uranium imegundulika kuwepo sehemu nyingi ikiwepo Bonde la mto Rufiji, Songea, Bahi-Dodoma karibu na Manyoni, Milima ya Uluguru na Garula-Mbeya.

Kwa mujibu wa huyu mtaalamu, madini ya Uranium inatabia ya kuoza na hivyo inapooza inatoa chembechembe inayoitwa gamma, alfa na beta pamoja na hewa hii inayoitwa radoni iliyo na uwezo wa kupita katika ardhi na kujaa ndani ya nyumba iliyojengwa juu ya eneo ilipo madini hii hata kumwathiri mkaaji, na hasa kama nyumba haina mfumo mzuri wa kupitisha hewa.

Anasema kuwa chembechembe aina ya alfa na beta hazina madhara sana kwa sababu zinazuliwa kupita hata na jiwe lenye unene kiasi cha sentimita 30 tu na hivyo chembe iliyo na uwezo wa kupenya ni gamma tu.
Ripoti iliyoandikwa katika jarida la mambo ya tiba itwayo Pubmed inasema kuwa atomi moja tu ya radoni ina uwezo wa kusababisha kansa ya mapafu na hivyo zio lazima mpaka uwe nayo kwa wingi katika mapafu yako.

Jarida hilo linaandika kuwa hewa hii uua mfumo wa kuzaliana kwa seli za mapafu hivyo huziminya seli hizo na kasha kuziua na kumsababisha kansa ya mapafu.

Jarida hilo pia linatoa takwimu kuwa asilimia 30 ya vifo vya watu wa Iroshima na Nagasaki sehemu ilipoangushwa bomu la atomiki na Wamerakani katika vita vikuu vya pili vya dunia inasababishwa na kansa ya mapafu.

Dr. Marobhe anasema kuwa katika nchi zilizoendela katika kuzingatia afya ya jamii wanapima hata mawe ya kujengea nyumba kama ina kiasi cha mionzi ya radiesheni.

“Mawe aina ya ‘granite’ kwa kawaida ina kiasi Fulani ya mionzi ya radiesheni inayoweza ikasababisha kuwepo kwa hewa hii ya Radoni, hivyo ujenzi wa kutumia mawe ovyoovyo pia inaweza ikamweka mtu katika mazingira ya athari,” alisema Dr. Marobhe.

Anasema kuwa hata walipokuwa wanapima kwa kutumia ndege (Airbone geophysics) waligundua kuwa madini aina ya Phosphate iligunduliwa kule Arusha katika eneo la Minjingu ilikuwa na chembechembe za Uranium na hivyo lazima kuna hewa ya Radoni.

Alishauri kuwa serikali ifanye kila iwezalo kuwaamisha wakazi wa maeneo yaliyo na madini haya ili wasipatwe na madhara makubwa kama ya kansa ya mapafu."

Mwisho
 
Mbona sielewi au kwa sababu umeandika kiswahili
 
Wambugani...

Thanks for bringing this up again... Kumeshafanyika environmental impact assessments kama mbili (kama sikosei) kutoka kwa wanaoupigia debe na nyingine kufanywa na wanaopenda mazingira ya kweli na uoto/uzao wa asili;

jamaa yeye alishashabikia huo mradi na ni mbaya kwani uranium, radium etc madhara yake yanaweza kutufikisha hadi mbuga ya manyara (wanyama na watu)

sasa subiri ya biofuel hapo ruvu and rufiji kwa vizazi vya kesho

sijui washauri wa namna gani wapo
 
Wambugani...

jamaa yeye alishashabikia huo mradi na ni mbaya kwani uranium, radium etc madhara yake yanaweza kutufikisha hadi mbuga ya manyara (wanyama na watu)

LOL wala usijali maadam tumeanza na kesi za matumizi mabaya ya madaraka, na yeye basi tutampeleka kwa pilato tu.
 
"Kwanini mbolea ya Minjingu irundikane wakati inahitajika?

2009-03-01 13:07:46
Na Mhariri

Lakini lipo jambo moja ambalo linatia shaka. Zipo kila dalili kwamba huenda mavuno ya mwaka huu yasiwe mazuri kutokana na wakulima wengi kukosa mbolea. ................Hivi uzembe wa aina hii tutauvumilia hadi lini? Serikali yetu inayoongozwa na Rais Jakaya Kikwete imeweka bayana nia yake ya kuhakikisha matumizi ya mbolea yanapewa kipaumbele.

Katika hotuba yake ya mwisho wa mwaka jana aliyoitoa kupitia Radio na televisheni Desemba 31, alisema katika sehemu ya hotuba hiyo kuwa, ``nafurahi pia kuwa dhamira yetu ya kuzalisha mbolea hapa nchini inatekelezwa vizuri. Kiwanda cha kuzalisha mbolea ya phosphate pale Minjingu, mkoani Manyara kimekamilika na kimeshaanza kazi``.

Pia akasema kuwa mchakato wa ujenzi wa kiwanda cha kuzalisha mbolea ya NPK hapo Minjingu umeshaanza. Aidha uamuzi wa kujenga kiwanda cha mbolea ya Urea na Ammonia kule Mtwara umefikia hatua nzuri."

Mbona Rais hazungumzii athari ya phosphate kwa afya ya binadamu?
 
Back
Top Bottom