Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Ivi waafrika tuna laana? Ivi kweli kongamano ukiondoa kusinzia ndani ya kumbi na kuwa active kwenye maonyesho ya silaha linamaana gani ivi sie waafrika tumerogwa au tumejiroga wenyewe.
Lengo la mrusi halina tofauti na lengo la mataifa ya magharibi na china. Wao wako kwa ajiri ya silaha na kuiba mali za afrika.
Na lengo kubwa la mataifa ya afrika ni kubaki madarakani kama siyo rais muhusika basi chama chake. Ivyo lazima wahakikishiwe ulinzi na siraha lakini sio kuangalia teknolojia na kuiba na kuileta afrika.
Mataifa mengi ya nje wanaweka ukaribu na watawala na kuhakikishiwa ulinzi lakini huwa hawako kuwahakikishia elimu, afya, teknolojia kwa mataifa yao. Zaidi ulinzi wa silaha na zaidi nchi za afrika zimekuwa majaribio ya siraha zao sio makwao