Kumbe Mario Ballotelli ni Kiongozi wa Freemason! Dunia Kwishney!!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe Mario Ballotelli ni Kiongozi wa Freemason! Dunia Kwishney!!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Nyenyere, Jul 19, 2012.

 1. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,930
  Trophy Points: 280
  kls-wmk.php.jpg

  Ha ha haha haaaaaaah!!
   
 2. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Nini kinaashiria ufreemason hapo??
   
 3. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,930
  Trophy Points: 280
  Alivomuweka bench Obama. Hapo wako loji. Heh heh heeh!
   
 4. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kielelezo chako kijakamilika kumuushisha Mario Balloteli katika ufreemason.
   
 5. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,930
  Trophy Points: 280
  Hata alivonyoa ni kifreemason. Huoni alivokaa kama grand master! Anaendesha ibada. Hah hah hah haah!
   
 6. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,488
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  kwa kumbukumbu zangu hiyo picha ni ya tukio kipindi kile wanajeshi wa marekani wanamshambulia osam bin Laden ilikuwa live coverage na obama na viongoz wake wa jeshi ,nasubiri kuelekezwa kwa usahhi zaid kama siko sahh katki hili!
   
 7. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,930
  Trophy Points: 280
  Ndo walikuwa wanamtoa kafara Osama hivo! Pole kwa mapovu, we love having fun, ha ha hahaaah!
   
 8. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Tusipoangalia hii kitu vizuri woote tutakuwa wajinga.
   
 9. rasmanyara

  rasmanyara Senior Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Picha tu izo,we mwenyewe stail uliyokaa kuandika huu uzi ni freemanson style
   
 10. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kweli wewe ni nyenyere aina ubishi.
   
 11. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,930
  Trophy Points: 280
  Unataka tuwe wajinga mara ngapi? Think outside the box!

  Ujiwatotopewa.jpg DHIKI5.jpg Boys_ii_Men_with_Kikwete1.jpg
   
 12. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,898
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Mkuu umeua, sikuwa nina nia ya kuchangia lakini hii picha yako imenilazimisha,naomba kukuuliza ina maana wakati matatizo yametujaa Rais wetu yeye kakalia kupiga picha na boys to men, au ulimaanisha kingine?
   
 13. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,930
  Trophy Points: 280
  Kweli tupu mkuu. Si unaona watoto wetu anawabust na uji ili waende shuleni kusiko na walimu wala madawati. Halafu anatamba kwamba ameanzisha program ya uji mashuleni kuinua elimu! Na wakati anapasua anga kwenda majuu kuinjoi na maserebrity, sisi tunaangalia picha zake na kushindana kama ameweka pozi la freemason ama la. Taifa la wajinga kweli kweli!
   
 14. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Uko sahihi 100%
   
 15. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Handsome wenu watamjuaje kama watanzania walimpa kura ili wapige naye picha kama Nyerere alivyosema! Wasanii wote karibu atamaliza kupiga nao picha...usisahau na kaburi la Michael Jackson karibu atakwenda kupiga picha hapo
   
 16. S

  Sambwisi Senior Member

  #16
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 166
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ni sahihi walikuwa wanaangalia Live mauaji ya Osama Bin Laden.
   
 17. Ben40

  Ben40 Senior Member

  #17
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 195
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Jamani hii picha haijaeditiwa?
   
Loading...