Kumbe maelfu ya watu yawezekana wameugua corona na kupona bila kujua, kumbe ni ugonjwa mlaini hivi

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,832
18,827
Gavana wa New York, Andrew Cuomo kasema inawezekana malaki ya watu wameugua corona na kupona bila kujua
Hii ni kwa sababu asilimia 80 ya wanaougua ugonjwa huu ni mafua mepesi tu na homa Gavana huyo amependekeza watu hao kutafutwa na kupimwa antibodies zao kisha kuwaruhusu waendelee kuchapa kazi kunusuru uchumi.

Corona ni kaugonjwa kadogo sana, Africa tumehimili makubwa kuliko hili. Tuchape kazi

========

New York Gov. Andrew Cuomo is launching an anti-body test that will identify in young, healthy people who has had COVID-19 and clear them to go back to work so that they can 'restart' the economy.

It is part of his strategy to both revive the workforce and isolate the most vulnerable people who are still susceptible to the virus, and is still being developed.

Cuomo announced it at a press conference on Tuesday but more needs to be done before the tests become available.

When finished, they will take the plasma from a young, healthy person who may have beaten the virus without ever knowing it.

In a one-two punch, it will not only clear them to go back to work because they will have proven immunity to it but the anti-bodies in their plasma can then be injected into sick people to try to fight it.

Cuomo said on Wednesday that the country does not need to wait for the public health crisis to be completely over before it resumes the economy, and that both can be done at the same time if approached 'intelligently'.

'You can have an economic start-up strategy that is consistent with a public health strategy.

'I believe once we get that test, you’re going to find hundreds of thousands of people who have had the coronavirus and resolved.

Let the younger people go back to work, let the recovered people go back to work.

'Ramp up the economy with those individuals you’re refining your public health strategy and at the same time you’re restarting your economy.

'Those two can be consistent if done intelligently,' he said.

Cuomo however said he is not prepared to risk even a sliver of the population for the sake of rebooting the economy.

Source: Cuomo is to launch an anti-body test to get people back to work
 
Gavana wa New York, Andrew Cuomo kasema inawezekana malaki ya watu wameugua corona na kupona bila kujua. Hii ni kwa sababu asilimia 80 ya wanaougua ugonjwa huu ni mafua mepesi tu na homa Gavana huyo amependekeza watu hao kutafutwa na kupimwa antibodies zao kisha kuwaruhusu waendelee kuchapa kazi kunusuru uchumi
Source ya habari?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gavana wa New York, Andrew Cuomo kasema inawezekana malaki ya watu wameugua corona na kupona bila kujua. Hii ni kwa sababu asilimia 80 ya wanaougua ugonjwa huu ni mafua mepesi tu na homa. Gavana huyo amependekeza watu hao kutafutwa na kupimwa antibodies zao kisha kuwaruhusu waendelee kuchapa kazi kunusuru uchumi.

Corona ni kaugonjwa kadogo sana, Africa tumehimili makubwa kuliko hili. Tuchape kazi

=======

New York Gov. Andrew Cuomo is launching an anti-body test that will identify in young, healthy people who has had COVID-19 and clear them to go back to work so that they can 'restart' the economy.

It is part of his strategy to both revive the workforce and isolate the most vulnerable people who are still susceptible to the virus, and is still being developed.

Cuomo announced it at a press conference on Tuesday but more needs to be done before the tests become available.

When finished, they will take the plasma from a young, healthy person who may have beaten the virus without ever knowing it.

In a one-two punch, it will not only clear them to go back to work because they will have proven immunity to it but the anti-bodies in their plasma can then be injected into sick people to try to fight it.

Cuomo said on Wednesday that the country does not need to wait for the public health crisis to be completely over before it resumes the economy, and that both can be done at the same time if approached 'intelligently'.

'You can have an economic start-up strategy that is consistent with a public health strategy.

'I believe once we get that test, you’re going to find hundreds of thousands of people who have had the coronavirus and resolved.

Let the younger people go back to work, let the recovered people go back to work.

'Ramp up the economy with those individuals, you’re refining your public health strategy and at the same time you’re restarting your economy.

'Those two can be consistent if done intelligently,' he said.

Cuomo however said he is not prepared to risk even a sliver of the population for the sake of rebooting the economy.

Source: Cuomo is to launch an anti-body test to get people back to work
Subiri ikupate ndio utatia akili
 
ni kweli kabisa mwenyewe naunga mkono, january nilikutana na bro wangu alikua katoka china siku mbili nyuma, nikaenda mimi na manz wangu tukapiga gambe etc.. duh baada ya kama wiki hivi tuliumwa wote kwa pamoja mafua makali, kukohoa, homa , sore throat, na mi nlkua hadi natapika yani, yan mafua napataga ila ile ilizidi, but nilijidunga madawa yangu kibao af hata hatukutoka hiyo wiki ila tukapona, na jamaa na yy akaumwa wiki iyo iyo adi maskio yakamziba... so obviously wengi tushapata corona bila kujijua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Burundi inasemekana mpaka sasa hakijapatikana kisa hata kimoja cha CORONA.

Akizungumzia mafanikio hayo waziri wa Afya Nchini humo amesema:

"Siri Kubwa Ya Kutokuwa Na Mgonjwa Wa Corona Nchini Humo Ni KUTOKUWA NA KIPIMO CHA KUPIMIA"
 
Gavana wa New York, Andrew Cuomo kasema inawezekana malaki ya watu wameugua corona na kupona bila kujua
Hii ni kwa sababu asilimia 80 ya wanaougua ugonjwa huu ni mafua mepesi tu na homa Gavana huyo amependekeza watu hao kutafutwa na kupimwa antibodies zao kisha kuwaruhusu waendelee kuchapa kazi kunusuru uchumi.

Corona ni kaugonjwa kadogo sana, Africa tumehimili makubwa kuliko hili. Tuchape kazi

========

New York Gov. Andrew Cuomo is launching an anti-body test that will identify in young, healthy people who has had COVID-19 and clear them to go back to work so that they can 'restart' the economy.

It is part of his strategy to both revive the workforce and isolate the most vulnerable people who are still susceptible to the virus, and is still being developed.

Cuomo announced it at a press conference on Tuesday but more needs to be done before the tests become available.

When finished, they will take the plasma from a young, healthy person who may have beaten the virus without ever knowing it.

In a one-two punch, it will not only clear them to go back to work because they will have proven immunity to it but the anti-bodies in their plasma can then be injected into sick people to try to fight it.

Cuomo said on Wednesday that the country does not need to wait for the public health crisis to be completely over before it resumes the economy, and that both can be done at the same time if approached 'intelligently'.

'You can have an economic start-up strategy that is consistent with a public health strategy.

'I believe once we get that test, you’re going to find hundreds of thousands of people who have had the coronavirus and resolved.

Let the younger people go back to work, let the recovered people go back to work.

'Ramp up the economy with those individuals you’re refining your public health strategy and at the same time you’re restarting your economy.

'Those two can be consistent if done intelligently,' he said.

Cuomo however said he is not prepared to risk even a sliver of the population for the sake of rebooting the economy.

Source: Cuomo is to launch an anti-body test to get people back to work
Ni kweli kabisa nipo hapa namsikiliza. Kama wao case 80 zinajimaliza zenyewe naamini kwa sisi waafrica asilia 100% cases zitajimaliza zenyewe nadhan tuna immune kali zaidi kupambana na magonjwa yote yanayofanana na Mafua na Mafua Makali.
 
Back
Top Bottom