Elections 2010 Kumbe Maalim Seif ni sawa na mkuu wa wilaya?

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,289
92,351
Njaa mbaya kilichotokea jana uwanja wa Taifa wakati mechi ya fainali kati ya Tanganyika na Ivory Coast kinachekesha au CCM iliamua kututhibitishia kivitendo kwamba they mean bussiness.

Kituko ni kwamba tumetangaziwa Maalim ndio mgeni rasmi lakini cha kushangaza tuzo zote pamoja na kukabithi kombe ilo jukumu alilifanya LUKUVI, swali je kiprotokali LUKUVI ni mkubwa kuliko Maalim?

NATOA HOJA.
 
Labda Maalim Seif hakutaka kukabidhi kombe kwa sababu alikuwa na wivu kwakuwa Zanzibar haikuingia fainali.
 
Mkasi anaotembea nao mfukoni ulitoboa suruali kwa bahati mbaya, alishindwa kuiinuka!
 
Mkasi anaotembea nao mfukoni ulitoboa suruali kwa bahati mbaya, alishindwa kuiinuka!


Kwa hiyo mkuu hapo kwenye RED unamaanisha kazi ya huyu MWANAMUME ni kukata utepe na kumuwakilisha Dr Shein kwenye sherehe za maulidi? basi kazi ipo.
 
Heading yako haiendani na stori yako.
inaelekea hujui vizuri hii kitu, usiiweke kisiasa. hapo ccm inaingia vipi?
au unaaleji na ccm mkuu,
 
Nacho fahamu mimi hakutoa tuzo hizo kwa sababu za kiimani (Bia na swala tano haviendani) ingawa nashindwa kuelewa kwa nini alihudhuria.
 
Nacho fahamu mimi hakutoa tuzo hizo kwa sababu za kiimani (Bia na swala tano haviendani) ingawa nashindwa kuelewa kwa nini alihudhuria.

hapo kwenye blue si kweli. conduct a study wakati huu na wakati wa mfungo. and make your own conclusion
 
We utakuwa unazungumzia waliohasi dini.............

precisely hao wako kila dini, hata kwenye ubutha, hindu, christianity pombe bado ni issue tete, technically hairuhusiwi. Lakini cha ajabu wanywaji wake wamo hata viongozi wa dini na hao hao unaodai ni ma-swala tano, wenye makovu kwenye vipaji vya nyuso zao.
 
Nacho fahamu mimi hakutoa tuzo hizo kwa sababu za kiimani (Bia na swala tano haviendani) ingawa nashindwa kuelewa kwa nini alihudhuria.


Sasa mkuu, hapo kwenye RED usipotupa jibu wewe atatupa nani? maana mimi ninachojuwa hata kule kwao Zanzibar Maalim Seif anazidiwa cheo na makamu wa pili wa Rais, kwa kuwa Rais wa zanzibar akisafiri nchi za nje, basi makamo wapili wa rais ndio anakuwa mkuu wa nchi, sasa mimi kumfananisha na mkuu wa wilaya kwa huku kwetu Tanganyika hapo nimekosea wapi mkuu? kwenye ukweli uongo hujitenga, yule kazi yake itakuwa kufunga semina, kufunguwa warsha, makongamano na kumuwakilisha Dr Shein kwenye sherehe za Maulid na baraza la Idd, huo ndio ukweli mchungu ambao lazima tuambiane.
 
kwa kuwa ni bia, ndio maana JK nae hakuja? lakini afadhari hakutokea, si jui kama tungeshinda
 
Mbona kodi ya TBL wanaitafuna? hivi hawaju mapato makubwa yanatokana na bia,sigra na konyagi?
 
ni mtu mdogo sana kwa hapa bara, hata hatumtambui, anatambulika kule zanzaibar. kwa kusema ukweli mtu ambaye tunaweza kumtambua kidogo labda shein kwasababu yeye anauwakilisha mkoa wa zanzibar..oppsss, jimbo la zanzibar ambalo ni koloni la tz....watz nao tunako kakoloni ketu hapahapa kama wareno walivyokuwa na kakoloni ka msumbiji..hahahaha. hao swala tano mbona wakati wa mfungo kitimoto inakosa wateja? wanakula kitimoto kama nini, wanakunywa pombe kama nini na wanatembelea mitaa ya ohio kama nini...amini usiamini, wanywaji wakubwa wa pombe Tz ni waislam,,,kama hauamini kawaulize wachagga waliojenga mabaa kila kona watakuambia...unamkuta anakunywa bia lakini hapohapo anasema salamaleko..geresha tu hiyo dini yao.
 
naomba nijue kati ya lukuvi na seif nani alitangulia kuja na nani alitangulia kutoka uwanjani
 
au kwa kuwa ni mwisilam hakutaka kugusana na kitu kama tusker!!!............
 
Kuja na kutoka si wote walikuja uwanjani?sasa ulitaka wote wabanane mlangoni,lazima awepo wa kutangulia haijalishi maana hata sisi watazamaji hatukuingia kwa pamoja kuna waliotangulia
 
au kwa kuwa ni mwisilam hakutaka kugusana na kitu kama tusker!!!............
Acha unafiki, kama aliona pombe kwanini waliiruhusu timu yao ya zanzibar kushiriki, na walikuwa wanazimendea kweli zile pesa za tusker?...sababu kwamba waliona ni pombe si sababu, ingekuwa hivyo, hakika yake hata uwanjani asingegusa..sasa amekuja, ameingia uwanjani kushuhudia kombe la walevi wanywa pombe..alafu anajifanya hagusi wakati mimacho yote alikuwa amekodolea uwanjani anafurahia michenga na mipasi...ikifika mwishoni anasema ni pombe baada ya mpira kuisha...hiyo ni nini kama si unafiki?...tatizo hapa ni kwamba...yeye ni mdogo kuliko hata Lukuvi...ni mdogo sana hawezi kufanya kitu wakati mtu mwenye cheo juu ya ke yupo pale...hayo ndiyo aliyoyataka kujiunga na ccm..na bado watampiga makonzi hadi ataona dunia chungu.
 
Back
Top Bottom