Kumbe LULU ni Mchaga!!!?Nazidi kuwaogopa.

Status
Not open for further replies.

ma2mbo

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
697
326
Aisee nimeshtuka sana kuambiwa kuwa Lulu kumbe ni mchaga,tena wa Machame..

Kitu ambacho nazidi kujiuliza aya matukio ya wanawake wa kichaga kusababisha vifo vya wapenzi wao inakuwaje yanajirudia kwa wingi!?
Jamani wanawake wa kichaga hawa acha tu.
 
Acha akili mgando wewe. Na hao wazungu huko ulaya wanaoua waume zao ni wachagga? Nonesense.
 
sio wachaga wote, ni wa eneo fulani tu. Halafu Lulu hakuwa na mume. Ngono tu.
 
mkuu this is nonsense,no relation kati ya tukio la lulu na kugeneralize kabila la watu,unakosea!wengine tume invest huko na mambo yanaenda murua
 
Acha akili mgando wewe. Na hao wazungu huko ulaya wanaoua waume zao ni wachagga? Nonesense.

Temu..sijasema wanaua nimesema wanasababisha vifo..alafu nazungumzia bongo sio ulaya.
 
Aisee nimeshtuka sana kuambiwa kuwa Lulu kumbe ni mchaga,tena wa Machame..

Kitu ambacho nazidi kujiuliza aya matukio ya wanawake wa kichaga kusababisha vifo vya wapenzi wao inakuwaje yanajirudia kwa wingi!?
Jamani wanawake wa kichaga hawa acha tu.

Kwahiyo matatizo ya dunia hii yanaletwa na wachaga tu? Kwani nani aliyeanzisha balaa la Kanumba? Ukiangalia sana kikulacho ki nguoni mwako. Usikimbilie kuja na formula ya ajabu ajabu ili kijifurahisha nafsi. Matatizo tunayo binadamu wote na yanafanana fanana
 
mkuu this is nonsense,no relation kati ya tukio la lulu na kugeneralize kabila la watu,unakosea!wengine tume invest huko na mambo yanaenda murua

we sema tu nonsense,siku yakikukuta ndio utaamini lisemwalo lipo..jamani tujifunze.
 
Mi ni mchaga lakini jana niliposikia ni mchaga wa kule kwe2 machame niliumia sana kwani ule usemi wa wamachame uliokuwa unaishia ndo unaanza na ume prove,usiogope sana that was an accident tu,na pia it cud hav happened to any other girl unless kama alimpiga na kitu lakini kumsukuma,hata wewe kwani hujawahi msukuma m2 angeanguka je akafa je?
 
I was just wondering kwanini umeileta hii thread. Kwa mfano albino kule shinyanga na mwanza nani anayewaua? Nao ni wachaga? Au wale vizee wakongwe? What mind conceive can be achieved! Jamii yetu ina kasoro nyingi sana na tatizo ni kubwa zaidi ya kunyooshea kidole kabila moja tu
 
wewe unachezea wamachame! ooh!...wamachame ni noumer. ndo maana mimi nikisikia lafudhi ya kichaga lazima nimuulize wewe mchaga wa wapi? mala nyingi wamachame hawapendi kujitaja. Utasikia anakuambia kwetu rombo. WANAWAKE WA KIMACHAME WALIO WENGI NI DANGEROUS. Huu ndo Ukweli hamna haja ya kufichana hapa Jf. Sema kwa sasa wanajaribu kukanusha kwa nguvu zote hii dhambi lakini bado inawatafuna. Ukianza kula nyama za watu huwezi kuacha.
 
Faulty reasoning!
 
I was just wondering kwanini umeileta hii thread. Kwa mfano albino kule shinyanga na mwanza nani anayewaua? Nao ni wachaga? Au wale vizee wakongwe? What mind conceive can be achieved! Jamii yetu ina kasoro nyingi sana na tatizo ni kubwa zaidi ya kunyooshea kidole kabila moja tu
Unachoshangaa ni nini, hapa mkubwa hajaongelea mada ya maalbino na vikongwe na hata angeongelea tunajua ni hakina nani wanausika kama wamachame wanavyo husishwa na jambo hilo.
 
I was just wondering kwanini umeileta hii thread. Kwa mfano albino kule shinyanga na mwanza nani anayewaua? Nao ni wachaga? Au wale vizee wakongwe? What mind conceive can be achieved! Jamii yetu ina kasoro nyingi sana na tatizo ni kubwa zaidi ya kunyooshea kidole kabila moja tu

mkuu!
Hapa nazungumzia vifo ndani ya mahusiano..hii inatisha.
 
Mi ni mchaga lakini jana niliposikia ni mchaga wa kule kwe2 machame niliumia sana kwani ule usemi wa wamachame uliokuwa unaishia ndo unaanza na ume prove,usiogope sana that was an accident tu,na pia it cud hav happened to any other girl unless kama alimpiga na kitu lakini kumsukuma,hata wewe kwani hujawahi msukuma m2 angeanguka je akafa je?

ndio nakubali inawezekana ni bahati mbaya kweli..lakini izi bahati mbaya zinapojirudiarudia tunaanza kupata wasiwasi kwamba uhenda nyie mna bahati mbaya ya kuishi na wenza wenu,ivyo wawe macho muda wowote inaweza tokea bahati mbaya wakapoteza uhai.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom