Kumbe Lugola alichosaini ni Memorandum of Understanding (MOU) na sio Contract! Magufuli hajui kuwa MOU haina nguvu ya kisheria?

Utoa Uzi huu kama una ofisi itakayomfaa Mtumbuliwa mpe kazi.Lakini,mwenye kazi ndiye achagua amtakaye kumtuma.
Msanii mmoja hapa nchi alimhasa Mjomba wake kuwa,"akiwa ndani kwake,ajihadhari Samaki Nguru asimle wala kumgusa kwani harufu ya shombo yake haitakasiki asilaani"
Mtumbuliwa sio tu Amemla Nguru ama kamgusa bali alim'beba kumpeleka Sokoni.
Utambue,duniani hatutakiwi kuwa Takatifu,baliWaadilifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuwa natafakari sana. Hivi huyu Lugola katika umahili wake wa kuwa graduate wa sheria UDSM, kuwa naibu waziri ofisi ya Makamu wa Rais, na Waziri wa Mambo ya Ndani, atawezaje kufanya kosa la ku-sign Mkataba wa USD 453m bila kumhusisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Bunge, na pia Rais? Anawezaje kufanya kosa kama hilo?

Sasa, kwa kauli ya ofisi ya Rais Magufuli wenyewe, inaonekana alichosaini Lugola sio Contract, bali ni Memorandum of Understanding (MOU). Angalia hapa chini ofisi ya Rais Magufuli mwenyewe inachosema:

View attachment 1333010
Sasa Magufuli anaelewa kwamba hata kama Lugola amesaini MOU, hiyo haina nguvu ya kuibana Tanzania kisheria? Hiyo MOU Lugola anaweza kabisa kusaini kama makubaliano kwa ajili ya majadiliano kuelekea kusaini Contract, ambayo ni wazi kwa tunavyomtarajia Lugola, asingethubutu ku-sign bila kuzihusisha mamlaka za serikali, kutia ndani Mwanasheria Mkuu na hata Rais, na huenda hata Bunge.

Naona wazi kwamba kutumbuliwa kwa Lugola, kama ni kwa ajili ya kusaini MOU, itakuwa imetokana na tabia ya Rais Magufuli kutoomba ufafanuzi kwa watu wanaoelewa mambo au hata Lugola mwenyewe, na kufafanuliwa kwamba kilichasainiwa ni MOU tu, haina nguvu ya kisheria! Lakini Rais wangu huyu inawezekana kabisa alikimbilia kutumbua bila kujua tofauti ya kisheria kati ya MOU aliyosaini Lugola na Contract!

Je akijua hili, atakiri kufanya kosa, kumuomba msamaha Lugola na kumrudisha katika nafasi yake ya uwaziri? Itabidi Rais Magufuli awe mtu mnyenyekevu sana kufanya hili.

What Is a Memorandum of Understanding (MOU)?

A memorandum of understanding (MOU or MoU) is an agreement between two or more parties outlined in a formal document. It is not legally binding but signals the willingness of the parties to move forward with a contract.

The MOU can be seen as the starting point for negotiations as it defines the scope and purpose of the talks. Such memoranda are most often seen in international treaty negotiations but also may be used in high-stakes business dealings such as merger talks.
Wewe lazima utakuwa mwanasheria siyo bure, kama unasoma bado kasomee sheria.

Haya unayosema mkuu ni kweli kabisa kwa ufahamu wa kimataifa, na wala siyo kwamba Rais hajui sheria, ameamua tu, kumtoa Jamaa ofisini maksudi baada ya kushindwa kum-hunt, kwa makosa mengine,

Lakini ukiangalia kikawaida tu Rais wetu huyu ana dhana ya chuki kwa baadhi ya watu, Lugola akiwa mojawapo, hata kwa kuongea kwake tu, kunatosha kuonyesha ana kitu moyoni.

Wangapi ndani ya ugo wake wa uongozi wameboronga? on his behests, alichukua hatua gani?

Nimeangalia hii clip mwanzo/mwisho, sehemu moja alisema huku akibetua midomo ''nilidhani waziri wa mambo ya ndani hata asingekuwepo hapa!!!'' wanasaikolojia humu ndani watatudadavulia hapa!

Mojawapo ya makwazo kwa Rais, ni jinsi Lugola kama Waziri wa mambo ya ndani alivvo lichukulia swala la Msiba Nyamgambire, kwa Negative connotative,

Musiba anatumiwa na Ikulu (Rais). hii haihitaji uwe Rocket scientist kulijua. majibishano kati ya Musiba na Lugola haya kumfuahisha Rais, aliona Lugola ni mwiba kwake, hivo alikuwa anamtafutia dirisha la kutokea japo ni dogo sana!

But Lugola usijali tena, mnao nyanyaswa nyie ndiyo Rais wa kesho, anaweza kukutupa leo Rais ajaye akakubeba na ukawa mkubwa zaidi.
 
hicho kitengo kilimkataa kitambo akaishia kukata mauno tu na kudai saluti.
Kwa hiyo unamuonea wivu kwa sababu amekata mauno uzuri? umekosa soko sasa unalilia mauno ya mwenzako? Tena bila aibu, mchana kweupeee! sababu anajua kukata vizuri? wewe flat screen akutake nani?

Unjidai asali akulambe nani? ukiangalia mboga jikoni tu ina chacha, palepale!
 
Kwahiyo kumbe kipaumbele chetu sasa hivi wakati tunaenda kwenye uchaguzi ni marisasi,mabomu na mavafaa mengine ya kuwaua na kuwatia ulemavu watanzania kwenye namba na vitambulisho vya NIDA
Ngoja awanyoroshe mlimbeza Jakaya, mka kataa upinzani, nikawabembeleza mnipe kura mimi, mkaniona kichaa! sasa ndo mnapata zombi zaidi! mjifunzege!

Euro Million 480, kwa ajili yenu, hatare!!!!!!
 
Kitu pekee ninachoamini na ndicho Mh.Rais alichokiona ni kwamba Kangi hakuimudu Wizara ya Mambo ya Ndani.

Alikuwa anarukaruka tu.Hata job description alikuwa hajui.Mara aingilie kazi za IJP kutumbua ma-RPC,Mara aingilie kazi za Amiri Jeshi Mkuu na Kumuamuru IGP asimame Paredi na Mbwa.
Yaani ilikuwa ni zaidi ya Comedian.

Binafsi nampongeza sana Rais kwa kumtumbua huyu bila kujali sababu alizotoa.
Wewe umenena mkuu, hayo mengine ni nyongeza tu. LUGOLA alitumbuliwa tangu ziara ya Rais alipokuwa Rukwa, alupowarudisha kwenye nafasi viongozi wa Polisi walioondolewa na LUGOLA kwa mgogoro wa shamba la shemeji zake.Rais alishaona huyu hanisaidii zaidi ya kunizidishia kashfa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kangi aliwabana Mapolisi zile tabia zao za hovyo za rushwa,unyanyasi na kuwambusha majukumu yao. Alimbana Siro,Ma-RPC,RTO hata wakuu wa vituo.
Jiwe ni mpenzi wa hayo Mambo na anategemea jeshi la Polisi kushindwa uchaguzi mkuu Mwaka huu. Hajiamini kuingia kwenye uchaguzi Yeye mwenyewe kidemokrasia. Anataka kutumia Polisi kama alivyowatumia watendaji wa kata kuharibu uchaguzi.

Kangi hakuwa kipenzi Cha Mapolisi wengi,hivyo amemuondoa kulinda uswahiba wake haramu na jeshi la Polisi.

Kwa kifupi Polisi ni kichaka Cha wahalifu!, Utekaji watu,upigaji risasi wanasiasa,uuaji,kupoteza raia wanaoshukiwa waharifu,rushwa,kusindikiza Mali haramu,unyanyasi, kubambikia kesi za barabarani ili kuvuna pesa' mapato kwa serikali n.k ni sifa za jeshi la Polisi chini ya Siro na JPM.
Huyu huyu KANGI aliyesema amani ya nchi hii inaletwa na risasi na mabomu ya Polisi ndo angewazuia askari kunyanyasa wapinzani? Bora Mwigulu alikuwa muuaji mwenye aibu kuliko LUGOLA mbabe asiyejali wala kusikia kelele za waombolezaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe lazima utakuwa mwanasheria siyo bure, kama unasoma bado kasomee sheria.

Haya unayosema mkuu ni kweli kabisa kwa ufahamu wa kimataifa, na wala siyo kwamba Rais hajui sheria, ameamua tu, kumtoa Jamaa ofisini maksudi baada ya kushindwa kum-hunt, kwa makosa mengine,

Lakini ukiangalia kikawaida tu Rais wetu huyu ana dhana ya chuki kwa baadhi ya watu, Lugola akiwa mojawapo, hata kwa kuongea kwake tu, kunatosha kuonyesha ana kitu moyoni.

Wangapi ndani ya ugo wake wa uongozi wameboronga? on his behests, alichukua hatua gani?

Nimeangalia hii clip mwanzo/mwisho, sehemu moja alisema huku akibetua midomo ''nilidhani waziri wa mambo ya ndani hata asingekuwepo hapa!!!'' wanasaikolojia humu ndani watatudadavulia hapa!

Mojawapo ya makwazo kwa Rais, ni jinsi Lugola kama Waziri wa mambo ya ndani alivvo lichukulia swala la Msiba Nyamgambire, kwa Negative connotative,

Musiba anatumiwa na Ikulu (Rais). hii haihitaji uwe Rocket scientist kulijua. majibishano kati ya Musiba na Lugola haya kumfuahisha Rais, aliona Lugola ni mwiba kwake, hivo alikuwa anamtafutia dirisha la kutokea japo ni dogo sana!

But Lugola usijali tena, mnao nyanyaswa nyie ndiyo Rais wa kesho, anaweza kukutupa leo Rais ajaye akakubeba na ukawa mkubwa zaidi.

Duh! Sasa kama Raisi ana chuki na Lugola kwani ni nani aliyemteuwa kuwa Waziri? Au ni wewe?
 
Kangi Lugora alipata Uwaziri sababu ya ukabila tu na kufahamiana na Magufuli. Lamini kwa maadili na utendaji hiki kilikuwa ni kituko tu au tukio la ajali kwa mtu fisadi kuelewa nafasi Ile.

Maadam alipata kwa ukabila na aliyempa ameona hafai, sisi tuache tusonge mbele.
Mkuu acha kuwa na moyo wa chuki. Unao uhakika kuwa ukabila umehusika mpaka Lugola akapata uwaziri?.

Unataka kuniambia kuwa Lowassa angepata urais wameru wasingejaa serikalini?.
 
Duh! Sasa kama Raisi ana chuki na Lugola kwani ni nani aliyemteuwa kuwa Waziri? Au ni wewe?
Hapana siyo mimi!
Siyo kwa sababu amekuchagua atakupenda na kukuthamini daima!, La hasha! neno hili linaenda sambamba na umdhaniae ndiye siye!

Unaoa! mwanamke mke leo! mdhabauni baadaye ana-kuua, au hata mume ana kucharanga mapanga!
wafwa! Kwa nini? sembuse Lugola na Rais?

Ok! mke anapata mimba leo, kwa raha zote but anaichomolea kwa mbali! kwa nini? basi hii ni sawa na Mimba ya Lugola kwa Magufl!
 
madindigwa
Hiyo ndio opinion yake usilazimishe mfanane anamzungumzia MTU ambae kanunua ndege, kajenga kiwanja cha ndege chato nk bila ridhaa ya bunge halafu analalamikia MoU bila ridhaa ya bunge, real
 
Kangi ni comedian; ni moja kati ya wateule kadhaa ambao hawakustahili kupata teuzi walizopewa. Hata kauli yake kuwa amani ya nchi hii inatokana na risasi na mabomu ilitosha kufanya atumbuliwe.

Ila ni kweli usiopingika kuwa "amani" ya nchi kwa sasa inategemea sana (polisi), risasi na mabomu!!
Kangi aliropoka hayo maneno na kilichofuata ni ki note from JPM na akawa "fired effective, instantly"
 
Nimekuwa natafakari sana. Hivi huyu Lugola katika umahili wake wa kuwa graduate wa sheria UDSM, kuwa naibu waziri ofisi ya Makamu wa Rais, na Waziri wa Mambo ya Ndani, atawezaje kufanya kosa la ku-sign Mkataba wa USD 453m bila kumhusisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Bunge, na pia Rais? Anawezaje kufanya kosa kama hilo?

Sasa, kwa kauli ya ofisi ya Rais Magufuli wenyewe, inaonekana alichosaini Lugola sio Contract, bali ni Memorandum of Understanding (MOU). Angalia hapa chini ofisi ya Rais Magufuli mwenyewe inachosema:

View attachment 1333010
Sasa Magufuli anaelewa kwamba hata kama Lugola amesaini MOU, hiyo haina nguvu ya kuibana Tanzania kisheria? Hiyo MOU Lugola anaweza kabisa kusaini kama makubaliano kwa ajili ya majadiliano kuelekea kusaini Contract, ambayo ni wazi kwa tunavyomtarajia Lugola, asingethubutu ku-sign bila kuzihusisha mamlaka za serikali, kutia ndani Mwanasheria Mkuu na hata Rais, na huenda hata Bunge.

Naona wazi kwamba kutumbuliwa kwa Lugola, kama ni kwa ajili ya kusaini MOU, itakuwa imetokana na tabia ya Rais Magufuli kutoomba ufafanuzi kwa watu wanaoelewa mambo au hata Lugola mwenyewe, na kufafanuliwa kwamba kilichasainiwa ni MOU tu, haina nguvu ya kisheria! Lakini Rais wangu huyu inawezekana kabisa alikimbilia kutumbua bila kujua tofauti ya kisheria kati ya MOU aliyosaini Lugola na Contract!

Je akijua hili, atakiri kufanya kosa, kumuomba msamaha Lugola na kumrudisha katika nafasi yake ya uwaziri? Itabidi Rais Magufuli awe mtu mnyenyekevu sana kufanya hili.

What Is a Memorandum of Understanding (MOU)?

A memorandum of understanding (MOU or MoU) is an agreement between two or more parties outlined in a formal document. It is not legally binding but signals the willingness of the parties to move forward with a contract.

The MOU can be seen as the starting point for negotiations as it defines the scope and purpose of the talks. Such memoranda are most often seen in international treaty negotiations but also may be used in high-stakes business dealings such as merger talks.
MoU ndio njia ya kuelekea kwenye mkataba. Hivi ukikutwa unaelekea Gest na Mke wa mtu lakini hamjatiana hapo utasema huna kosa??

Ina maana ungeachwa hapo si ndo mngeenda kupiga tukio??
 
Yule aliyekuita kuwa wewe ni mwanaume suruali hakukosea!
Tena alipaswa kusema kwa herufi kubwa kuwa "WEWE NI MWANAUME SURUALI"

... huyo aliyetumbuliwa alikuwa anakata mauno mara ngapi mbele ya kadamnasi?
Hata mkuu wake aliliona, badala ya kumwambia straight akaishia kumuambia huwa anamsifia!
Sasa wewe na uzwazwa wako sijui umetokea wapi, eti niombe radhi..!?
Labda huenda unastress za madeni hii january, au pengine bado una stress za kuitwa mwanaume surauali, maana ungekuwa unajielewa usingeitwa hivyo!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Duu! kumbe unanipenda kiasi hiki? mpaka chumbani? HahaaaA!!!!!!!

Mkuu umesema vyema, mie kidume suruali, mwenzako yule hakukosea kuniita vile,kumbe ni wivu bana ulikuwa wamuumiza ati!, x- mass/new year tumejirusha sana Zenj!, ulituona? alilalama eti nina suruali.nyingi .

Ujue mkuu una-Memorise ma-mind very far, eti! ''kwani alikuudhi kaka mkubwa''? sema tu! km hukupenda aniite ivo, nimpe vipande vyake '' Dear ulimuudhi Freyzem '' any way uwazi ni kitu kizuri!

Wewe Genius mkuu una kumbukumbu zangu muhimu zote, x-wangu hana, ivo waweza nifaa kuliko, tatizo sasa.. ''mie kirisitu nimezaliwa na kukulia Bara japo siko tena, itakuwaje hapo?''

Tajiri ndo mwenye Madeni, Kesi, Mali, Utawala, Ubabe, Umiliki,Uongozi, Kununua madege anavotaka, hashitakiwi, Wake na Masuria wa kumwaga hizi ndo zangu hujakosea, uko muremure!!!!!

Ukoo wa Suleiman unaniona,... lkn Maskini asiyefirisika huyo atadaiwa nini? akifa ndo basi tena haachi kitu! kwanza nani atamuamini kumkopesha? km huna madeni ni maskini hata kigari cha mkopo?
 
Back
Top Bottom