Kumbe Lugola alichosaini ni Memorandum of Understanding (MOU) na sio Contract! Magufuli hajui kuwa MOU haina nguvu ya kisheria?

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,128
18,733
Nimekuwa natafakari sana. Hivi huyu Lugola katika umahili wake wa kuwa graduate wa sheria UDSM, kuwa naibu waziri ofisi ya Makamu wa Rais, na Waziri wa Mambo ya Ndani, atawezaje kufanya kosa la ku-sign Mkataba wa USD 453m bila kumhusisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Bunge, na pia Rais? Anawezaje kufanya kosa kama hilo?

Sasa, kwa kauli ya ofisi ya Rais Magufuli wenyewe, inaonekana alichosaini Lugola sio Contract, bali ni Memorandum of Understanding (MOU). Angalia hapa chini ofisi ya Rais Magufuli mwenyewe inachosema:

1579870791528.png

Sasa Magufuli anaelewa kwamba hata kama Lugola amesaini MOU, hiyo haina nguvu ya kuibana Tanzania kisheria? Hiyo MOU Lugola anaweza kabisa kusaini kama makubaliano kwa ajili ya majadiliano kuelekea kusaini Contract, ambayo ni wazi kwa tunavyomtarajia Lugola, asingethubutu ku-sign bila kuzihusisha mamlaka za serikali, kutia ndani Mwanasheria Mkuu na hata Rais, na huenda hata Bunge.

Naona wazi kwamba kutumbuliwa kwa Lugola, kama ni kwa ajili ya kusaini MOU, itakuwa imetokana na tabia ya Rais Magufuli kutoomba ufafanuzi kwa watu wanaoelewa mambo au hata Lugola mwenyewe, na kufafanuliwa kwamba kilichasainiwa ni MOU tu, haina nguvu ya kisheria! Lakini Rais wangu huyu inawezekana kabisa alikimbilia kutumbua bila kujua tofauti ya kisheria kati ya MOU aliyosaini Lugola na Contract!

Je akijua hili, atakiri kufanya kosa, kumuomba msamaha Lugola na kumrudisha katika nafasi yake ya uwaziri? Itabidi Rais Magufuli awe mtu mnyenyekevu sana kufanya hili.

What Is a Memorandum of Understanding (MOU)?

A memorandum of understanding (MOU or MoU) is an agreement between two or more parties outlined in a formal document. It is not legally binding but signals the willingness of the parties to move forward with a contract.

The MOU can be seen as the starting point for negotiations as it defines the scope and purpose of the talks. Such memoranda are most often seen in international treaty negotiations but also may be used in high-stakes business dealings such as merger talks.
 
Lugola acha kulialia. Kubali kuvuna ulichokipanda.

Mh Rais kwa miaka yake yote ya uwaziri amekaa wizara zinazodill na mikataba hivyo siyo mtu wa kufafanuliwa kuhusu utaratibu unaotakiwa kufuatwa katika mikataba. Kwa wizara zote nchini wizara inayohusiana na ujenzi wa barabara ndiyo inayoongoza kwa mikataba na ndiyo wizara aliyoiongoza mh Rais kwa mda mrefu sana hivyo utaratibu wa mikataba anaufahamu fika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli kuna vitu vingi hajui tu, japo simtetei Lugola, ila hajui vitu vingi, namsikiliza anavyoongea tu nagundua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu pekee ninachoamini na ndicho Mh.Rais alichokiona ni kwamba Kangi hakuimudu Wizara ya Mambo ya Ndani.

Alikuwa anarukaruka tu.Hata job description alikuwa hajui.Mara aingilie kazi za IJP kutumbua ma-RPC,Mara aingilie kazi za Amiri Jeshi Mkuu na Kumuamuru IGP asimame Paredi na Mbwa.
Yaani ilikuwa ni zaidi ya Comedian.

Binafsi nampongeza sana Rais kwa kumtumbua huyu bila kujali sababu alizotoa.
 
Kangi aliwabana Mapolisi zile tabia zao za hovyo za rushwa,unyanyasi na kuwambusha majukumu yao. Alimbana Siro,Ma-RPC,RTO hata wakuu wa vituo.
Jiwe ni mpenzi wa hayo Mambo na anategemea jeshi la Polisi kushindwa uchaguzi mkuu Mwaka huu. Hajiamini kuingia kwenye uchaguzi Yeye mwenyewe kidemokrasia. Anataka kutumia Polisi kama alivyowatumia watendaji wa kata kuharibu uchaguzi.

Kangi hakuwa kipenzi Cha Mapolisi wengi,hivyo amemuondoa kulinda uswahiba wake haramu na jeshi la Polisi.

Kwa kifupi Polisi ni kichaka Cha wahalifu!, Utekaji watu,upigaji risasi wanasiasa,uuaji,kupoteza raia wanaoshukiwa waharifu,rushwa,kusindikiza Mali haramu,unyanyasi, kubambikia kesi za barabarani ili kuvuna pesa' mapato kwa serikali n.k ni sifa za jeshi la Polisi chini ya Siro na JPM.
 
Kwahiyo kumbe kipaumbele chetu sasa hivi wakati tunaenda kwenye uchaguzi ni marisasi,mabomu na mavafaa mengine ya kuwaua na kuwatia ulemavu watanzania kwenye namba na vitambulisho vya NIDA
 
Yote kwa yote hata kama Lugola alisaini MOU na akatumbuliwa kimakosa kweli bila ya mkuu wake kuelewa vyema, but akwende hafai, hicho kitengo kilimkataa kitambo akaishia kukata mauno tu na kudai saluti.

Hata Mg anafaa atumbuliwr nae hafai!!!
 
Nimekuwa natafakari sana. Hivi huyu Lugola katika umahili wake wa kuwa graduate wa sheria UDSM, kuwa naibu waziri ofisi ya Makamu wa Rais, na Waziri wa Mambo ya Ndani, atawezaje kufanya kosa la ku-sign Mkataba wa USD 453m bila kumhusisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Bunge, na pia Rais? Anawezaje kufanya kosa kama hilo?

Sasa, kwa kauli ya ofisi ya Rais Magufuli wenyewe, inaonekana alichosaini Lugola sio Contract, bali ni Memorandum of Understanding (MOU). Angalia hapa chini ofisi ya Rais Magufuli mwenyewe inachosema:

View attachment 1333010
Sasa Magufuli anaelewa kwamba hata kama Lugola amesaini MOU, hiyo haina nguvu ya kuibana Tanzania kisheria? Hiyo MOU Lugola anaweza kabisa kusaini kama makubaliano kwa ajili ya majadiliano kuelekea kusaini Contract, ambayo ni wazi kwa tunavyomtarajia Lugola, asingethubutu ku-sign bila kuzihusisha mamlaka za serikali, kutia ndani Mwanasheria Mkuu na hata Rais, na huenda hata Bunge.

Naona wazi kwamba kutumbuliwa kwa Lugola, kama ni kwa ajili ya kusaini MOU, itakuwa imetokana na tabia ya Rais Magufuli kutoomba ufafanuzi kwa watu wanaoelewa mambo au hata Lugola mwenyewe, na kufafanuliwa kwamba kilichasainiwa ni MOU tu, haina nguvu ya kisheria! Lakini Rais wangu huyu inawezekana kabisa alikimbilia kutumbua bila kujua tofauti ya kisheria kati ya MOU aliyosaini Lugola na Contract!

Je akijua hili, atakiri kufanya kosa, kumuomba msamaha Lugola na kumrudisha katika nafasi yake ya uwaziri? Itabidi Rais Magufuli awe mtu mnyenyekevu sana kufanya hili.
Ni msingi upi wa sheria unaosema moja kwa moja kwamba Memorandum of Understanding haina nguvu kisheria???
 
Kangi aliwabana Mapolisi zile tabia zao za hovyo za rushwa,unyanyasi na kuwambusha majukumu yao. Alimbana Siro,Ma-RPC,RTO hata wakuu wa vituo.
Jiwe ni mpenzi wa hayo Mambo na anategemea jeshi la Polisi kushindwa uchaguzi mkuu Mwaka huu. Hajiamini kuingia kwenye uchaguzi Yeye mwenyewe kidemokrasia. Anataka kutumia Polisi kama alivyowatumia watendaji wa kata kuharibu uchaguzi.

Kangi hakuwa kipenzi Cha Mapolisi wengi,hivyo amemuondoa kulinda uswahiba wake haramu na jeshi la Polisi.

Kwa kifupi Polisi ni kichaka Cha wahalifu!, Utekaji watu,upigaji risasi wanasiasa,uuaji,kupoteza raia wanaoshukiwa waharifu,rushwa,kusindikiza Mali haramu,unyanyasi, kubambikia kesi za barabarani ili kuvuna pesa' mapato kwa serikali n.k ni sifa za jeshi la Polisi chini ya Siro na JPM.
Kuna ma IGP wengi wamepita, Siro ni mchapakazi pia.
Siro ni mcha Mungu.
Siro is generous na mkweli na mweledi.
USIMCHAFUE SIRO.
Maoni yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaini vipi MOU yenye masharti ya kipuuzi namna ile tena kwa gharama kubwa kiasi kile bila kuhusisha mamlaka husika?
Kisheria mwenye mamlaka ya kikatiba kufanya majadiliano ya hivyo ni waziri wa fedha pekee.

Sent using mazonge yamezidi
 
Kangi aliwabana Mapolisi zile tabia zao za hovyo za rushwa,unyanyasi na kuwambusha majukumu yao. Alimbana Siro,Ma-RPC,RTO hata wakuu wa vituo.
Jiwe ni mpenzi wa hayo Mambo na anategemea jeshi la Polisi kushindwa uchaguzi mkuu Mwaka huu. Hajiamini kuingia kwenye uchaguzi Yeye mwenyewe kidemokrasia. Anataka kutumia Polisi kama alivyowatumia watendaji wa kata kuharibu uchaguzi.

Kangi hakuwa kipenzi Cha Mapolisi wengi,hivyo amemuondoa kulinda uswahiba wake haramu na jeshi la Polisi.

Kwa kifupi Polisi ni kichaka Cha wahalifu!, Utekaji watu,upigaji risasi wanasiasa,uuaji,kupoteza raia wanaoshukiwa waharifu,rushwa,kusindikiza Mali haramu,unyanyasi, kubambikia kesi za barabarani ili kuvuna pesa' mapato kwa serikali n.k ni sifa za jeshi la Polisi chini ya Siro na JPM.
Umemaliza yote. Jioni njema.
 
Mzee Helium pesa azifiki hazina leo kaja na kitu kingine asichokijua kuhusu MOU n contact, usipojua kitu uliza waswahili wanasema kuuliza si ujinga
 
Nimekuwa natafakari sana. Hivi huyu Lugola katika umahili wake wa kuwa graduate wa sheria UDSM, kuwa naibu waziri ofisi ya Makamu wa Rais, na Waziri wa Mambo ya Ndani, atawezaje kufanya kosa la ku-sign Mkataba wa USD 453m bila kumhusisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Bunge, na pia Rais? Anawezaje kufanya kosa kama hilo?

Sasa, kwa kauli ya ofisi ya Rais Magufuli wenyewe, inaonekana alichosaini Lugola sio Contract, bali ni Memorandum of Understanding (MOU). Angalia hapa chini ofisi ya Rais Magufuli mwenyewe inachosema:

View attachment 1333010
Sasa Magufuli anaelewa kwamba hata kama Lugola amesaini MOU, hiyo haina nguvu ya kuibana Tanzania kisheria? Hiyo MOU Lugola anaweza kabisa kusaini kama makubaliano kwa ajili ya majadiliano kuelekea kusaini Contract, ambayo ni wazi kwa tunavyomtarajia Lugola, asingethubutu ku-sign bila kuzihusisha mamlaka za serikali, kutia ndani Mwanasheria Mkuu na hata Rais, na huenda hata Bunge.

Naona wazi kwamba kutumbuliwa kwa Lugola, kama ni kwa ajili ya kusaini MOU, itakuwa imetokana na tabia ya Rais Magufuli kutoomba ufafanuzi kwa watu wanaoelewa mambo au hata Lugola mwenyewe, na kufafanuliwa kwamba kilichasainiwa ni MOU tu, haina nguvu ya kisheria! Lakini Rais wangu huyu inawezekana kabisa alikimbilia kutumbua bila kujua tofauti ya kisheria kati ya MOU aliyosaini Lugola na Contract!

Je akijua hili, atakiri kufanya kosa, kumuomba msamaha Lugola na kumrudisha katika nafasi yake ya uwaziri? Itabidi Rais Magufuli awe mtu mnyenyekevu sana kufanya hili.

Tunachofahamu, kuna watu wanamaumivu makubwa yaliyosababishwa na matumizi mabaya madaraka aliyo yatumia Lugola.

Sasa kama mkuu wake aliyemteua kamwondoa, mimi naona ni sawa tu ili aonje joto la jiwe.

Kama kuna mtu anaona ameonewa basi, akate rufaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom