Kumbe Lowassa kutoa 'password' jinsi ya kuiba kura ndiyo kumesababisha UKAWA kushindwa!

shikulaushinye

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
828
456
Habari za asubuhi wakuu na wengine poleni na majanga.

Bila kuwachosha: imebainika kuwa kitendo cha Mheshimiwa EDWARD LOWASSA aliyekuwa mgombea URAIS kupitia CHADEMA kusema kuwa wanachama wa wa UKAWA walinde kura za ubunge na udiwani tu lakini za URAIS wamwachine yeye pekee, kauri hii iliwafanya CCM kutolala kwa kufanya utafiti wa kutosha pia kufuatilia mipango ya LOWASSA, CCM walifanikiwa kupenyeza watu wa usalama ndani ya INNER CORE ya vikao vya UKAWA huvyo wakabaini kila njia itakayotwa kuiba kura. moja ya mkakati ilikuwa ni kuingilia mfumo wa cumputer wa mawasiliano wa NEC.

Kosa la mheshimiwa LOWASSA ni kukosa kutunza siri ya jinsi watakavyo fanya, hapakuwa na sababu ya kuwambia wana UKAWA kuwa wamwachie ulinzi kura za URAIS wao walinde kura za ubunge na madiwani. Kauli hii iliwafanya CCM kuamka. angalia mwenzake MAALIM SEIF SHARIF HAMAD alifanya mipango kimya kimya CCM walishituka wakati wa mataokeo.

Pomposity ilimponza LOWASSA.
 
Uchaguzi ulionekana Mgumu sana Mpaka Dr.Magufuli hakuwa akijiamini pamoja na viongoz wengi wa Ccm na Ukawa lakin kila ukimtazama jk na Kinana walionekana wako very sure na Ushindi popote walipo, hata Mkapa hakuwa na Confidence ya ushindi.

Confidence ya jk na ya kinana siku akihojiwa na tido Mhando nikajua hapa kuna kitu wamekijua dhidi ya Lowassa, hata wazo la kukaa na Kina Kingunge kumaliza mgogoro wa Dodoma jk alikataa akasema anaetaka kumfata lowassa mwacheni aende hata ikiwa wajumbe wote wa nec, Ukawa wakawa wanawalalamikia Wakurugenzi wa Tume Kunafki ili jk awaamini kuwa wako against Ukawa kumbe tayari Lowassa amewanunua.

Alhamis usiku siku mbili kabla ya kura wakahamishwa, ilimchanganya sana Mbowe na Lowassa wakaanza kuwaambia watu walinde kura wakat mwanzo waliwaanbia za Urais watalinda wenyewe.

Jk ni Mafia sana sana kwny Siasa za ki check bob! Mbowe mpaka leo hajakaa sawa maana alijiamini sana sasa haelewi what happened!!
 
Kura za Magufuli zilikuwa nyingi sana pamoja na kuibiwa haikufua dafu
 
uchaguzi ulionekana mgumu sana mpaka dr.magufuli hakuwa akijiamini pamoja na viongoz wengi wa ccm na ukawa lakin kila ukimtazama jk na kinana walionekana wako very sure na ushindi popote walipo, hata mkapa hakuwa na confidence ya ushindi. Confidence ya jk na ya kinana siku akihojiwa na tido mhando nikajua hapa kuna kitu wamekijua dhidi ya lowassa, hata wazo la kukaa na kina kingunge kumaliza mgogoro wa dodoma jk alikataa akasema anaetaka kumfata lowassa mwacheni aende hata ikiwa wajumbe wote wa nec, ukawa wakawa wanawalalamikia wakurugenzi wa tume kunafki ili jk awaamini kuwa wako against ukawa kumbe tayari lowassa amewanunua. Alhamis usiku siku mbili kabla ya kura wakahamishwa, ilimchanganya sana mbowe na lowassa wakaanza kuwaambia watu walinde kura wakat mwanzo waliwaanbia za urais watalinda wenyewe. Jk ni mafia sana sana kwny siasa za ki check bob! Mbowe mpaka leo hajakaa sawa maana alijiamini sana sasa haelewi what happened!!

watoto wa mjini hawana papara wanafanya kitu kwa uhakika
 
Uchaguzi ulionekana Mgumu sana Mpaka Dr.Magufuli hakuwa akijiamini pamoja na viongoz wengi wa Ccm na Ukawa lakin kila ukimtazama jk na Kinana walionekana wako very sure na Ushindi popote walipo, hata Mkapa hakuwa na Confidence ya ushindi. Confidence ya jk na ya kinana siku akihojiwa na tido Mhando nikajua hapa kuna kitu wamekijua dhidi ya Lowassa, hata wazo la kukaa na Kina Kingunge kumaliza mgogoro wa Dodoma jk alikataa akasema anaetaka kumfata lowassa mwacheni aende hata ikiwa wajumbe wote wa nec, Ukawa wakawa wanawalalamikia Wakurugenzi wa Tume Kunafki ili jk awaamini kuwa wako against Ukawa kumbe tayari Lowassa amewanunua. alhamis usiku siku mbili kabla ya kura wakahamishwa, ilimchanganya sana Mbowe na Lowassa wakaanza kuwaambia watu walinde kura wakat mwanzo waliwaanbia za Urais watalinda wenyewe. Jk ni Mafia sana sana kwny Siasa za ki check bob! Mbowe mpaka leo hajakaa sawa maana alijiamini sana sasa haelewi what happened!!

Umeongea uhalisia wa kilichotokea mkuu
 
Kumleta kailima ndio ulikua mwisho wa ukawa.mi nilishangaa ukawa kulalamikia uhamisho wa kawaida tu wa wafanyakazi wa serikali,kumbe waliwahonga.
 
Ccm uchaguzi umeisha ukawa bado hawajaamini wandhani wako ndotoni wakiamka watakuta lowassa ni rais. Pole zao. HAPA KAZI TU
 
Hivi unaibaje kura zilizopigwa manual kwa mfumo wa kielektroniki? Elimu Elimu Elimu
 
Uchaguzi ulionekana Mgumu sana Mpaka Dr.Magufuli hakuwa akijiamini pamoja na viongoz wengi wa Ccm na Ukawa lakin kila ukimtazama jk na Kinana walionekana wako very sure na Ushindi popote walipo, hata Mkapa hakuwa na Confidence ya ushindi. Confidence ya jk na ya kinana siku akihojiwa na tido Mhando nikajua hapa kuna kitu wamekijua dhidi ya Lowassa, hata wazo la kukaa na Kina Kingunge kumaliza mgogoro wa Dodoma jk alikataa akasema anaetaka kumfata lowassa mwacheni aende hata ikiwa wajumbe wote wa nec, Ukawa wakawa wanawalalamikia Wakurugenzi wa Tume Kunafki ili jk awaamini kuwa wako against Ukawa kumbe tayari Lowassa amewanunua. alhamis usiku siku mbili kabla ya kura wakahamishwa, ilimchanganya sana Mbowe na Lowassa wakaanza kuwaambia watu walinde kura wakat mwanzo waliwaanbia za Urais watalinda wenyewe. Jk ni Mafia sana sana kwny Siasa za ki check bob! Mbowe mpaka leo hajakaa sawa maana alijiamini sana sasa haelewi what happened!!

Jk ni mtoto wa mjini achana nae kabisa sio kama malofa ya kaskazini
 
Back
Top Bottom