Mkuu UPELE uko sawa kweli besti?siku hizi majimama wanawapenda vijana why kama jimama huyu aliesema simuachi labda afe siwahi kuona hivi kwanini wanajamii inakuwa hivyo
Ndo manake ndugu yangu Upele, hii inadhiirisha ni jinsi gani walivyokata tamaa na maisha kutoka na mabehaviour ya waume zao kutowaridhisha. Au ulikuwa unamaanisha majimama yalio single...ikiwa hivyo pia, ni kutokana na hao mibaba ya size zao wamekimbilia dogodogo ambapo unakuta na wao wanakosa wakuwaburudisha. Nadhani hata wenyewe ukiingia ndani ya nafsi zao kwa kweli wasingependa kuwa na hao sengereti...hapo nao wamefumba macho kama hawaoni vile.siku hizi majimama wanawapenda vijana why kama jimama huyu aliesema simuachi labda afe siwahi kuona hivi kwanini wanajamii inakuwa hivyo
vijana wa siku hizi wanajua kusebena! acheni majimama wale raha! vijana wa zamani mambo kama haya wayajulie wapi? hivi unaweza kumwambia kijana wa zamani aende uvinza na akakuelewa? hehehe! jibu unalo! ngoja tuendelee kuhudumia mizigo mikubwa mikubwa tu!siku hizi majimama wanawapenda vijana why kama jimama huyu aliesema simuachi labda afe siwahi kuona hivi kwanini wanajamii inakuwa hivyo
vijana wa siku hizi wanajua kusebena! acheni majimama wale raha! vijana wa zamani mambo kama haya wayajulie wapi? hivi unaweza kumwambia kijana wa zamani aende uvinza na akakuelewa? hehehe! jibu unalo! ngoja tuendelee kuhudumia mizigo mikubwa mikubwa tu![/QUOTE]
kumbe pape we kitherengeti boi
hahahahaha! jamani jamani wamama wanajua kuhudumia! hasa wenye chapaa! ukiomba kitu lazima atoe kwani anajua unaweza kusitisha huduma dakika yeyote! Hawa wamama wanaponzwa na kitu kimoja! wanapenda kwenda na serengeti zao katika vikao vyao vya starehe sasa huko mara nyingine waga wanazungukana! Mwenzake akipandisha dau basi kuna uwezo wa kuporwa kaserengeti kake. Ndio maana wanakunja sana mshiko! Hehehehehe, acheni serengeti wale maisha!kumbe pape we kitherengeti boi