Kumbe kweli mizigo ya Rwanda (export) inapita Tanzania bila kulipa kodi!

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,617
34,062
Nimeshuhudia leo kwa macho yangu,

- Mizigo inakuwa exported kutoka Tanzania ikiwa na RRA SEAL pekee pamoja na SHIPPING SEAL badala ya TRA SEAL kama inavyotakiwa kuwa.

MUNGU ATUSAIDIE TU !

UPDATES

- Naona watu wengi wanajaribu kufight back kwa nguvu ikiwa ni namna ya kumtetea mtu fulani na wengine wanajaribu kuonesha kwamba mizigo inayopita hapa nchini ( Transist ) huwa hailipi kodi hapa ndani, sasa Swali langu ni kama ifuatavyo:

Binafsi, nina experience ya kupokea mizigo kadhaa kama Copper, Manganese Ore, Zinc Oxide n.k kutoka nchi za Zambia, Congo DRC, n.k, mizigo yote hiyo huwa tunaipokea hapa nchini ikiwa tayari imefungwa SEAL ya TRA ( imelipiwa kodi ) na haina SEAL nyingine yoyote ya nchi yoyote, sasa ni kwanini mizigo inayotokea RWANDA haina SEAL ya TRA badala yake inasafirishwa kwenda nje ikiwa na SEAL ya TRA ya RWANDA ( RRA ) ??
 
Back
Top Bottom