Kumbe Kweli kitambulisho cha taifa hakitumiki

Mgibeon

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
11,253
21,275
Wakuu Leo nimeingia bank flani Hivi, nimetaka kufanya muamala nimeambiwa siwezi kufanya muamala Kwa kitambulisho tajwa hapo juu!

Sasa Hebu nisaidieni, kwanini haifai kutumia kitambulisho hili?

Je Ni feki?

Vipi gharama zilizotumika ku'process zilienda bure? Namaanisha gharama ilizoingia serikali kupitia tume.

Sikumbuki vizuri Ila Nahisi Kama ilishawahi kujadiliwa humu ndani,( mnisaidie ule uzi Kama upo tafadhari).

Nimeshindwa kuuliza hapa bank kwakua kuna foleni Kubwa halafu Kila mtu kanuna!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom