kumbe kweli iddi amini alibebwa na wazungu/wahindi kama chifu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kumbe kweli iddi amini alibebwa na wazungu/wahindi kama chifu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Madcheda, Mar 13, 2011.

 1. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  amini.jpg

  nakumbuka zamani kulikua na story ya kwamba iddi amini alibebwa na wazungu na wahindi kama walivyokua wao wakibebwa na mababu zetu. watu wengi tulikua hatuamini hizi habari tukizan ni hadithi tu, nimeweza kupata hii picha nimeamua kushea na wadau wangu wa humu jamvini...

  asante sana
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  actually mimi huwa nashangazwa na the fact kwamba

  watu wengi vichaa hasa africa hufanikiwa kufika on top na kuwa viongozi...

  huwa i wonder vichaa hawa wana nini ambacho watu timamu hawana??????

  iddi amini..
  bokassa
  gadafi
  samuel doe.
  charles taylor

  na wengineo wengi

  hata hapa tz watu walio closed na mwalimu
  walikuwa wanasema kuwa sometimes
  alikuwa crazy kabisa..

  halafu kuna mrema....

  yaani the list ni ndefu.........
   
 3. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35


  hapo kwenye red nakubaliana na wewe 100 kwa 100 aise
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  ha ha haha........
   
 5. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  yan mrema sio mzima kbs aise,akili yake anaijua mwenyewe boss
   
 6. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  mrema kazidi usanii,ila kwann ulikuwa huamini kwamba wazungu walimbeba? Wazungu ni wasanii sana mie siwakubali
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  inawezekana,lakini huoni ajabu jinsi anavyofika mpaka hapo?
  amewaacha watu wenye timamu na shule kumzidi....
   
 8. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,907
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 160
  Kwa kawaida watu "vichaa" kama uliowataja hapo juu huwa wana tabia ya kujiamini na kutokuona aibu wala kujisikia kuadhirika hata pale wanapofanya mambo ya ajabu. Ni watu ambao hata kama hawezi jambo bado atalazimisha kuliweza, akishindwa hata ukimzomea wala hajali... Kwa mantiki hiyo basi, huwa ni rahisi sana kwa hawa watu kupata nafasi nzuri hasa kwenye nchi zetu za kiafrika kutokana na ukweli kuwa watu "timamu" husita kufanya jambo mpaka awe na uhakika kuwa atafanikiwa. Wanaogopa aibu au lawama iwapo hawatafanikiwa.

  Hili ni tatizo ni la siku nyingi, hata nyakati za Ancient Greece mwanafalsafa Plato aliligusia, Plato alisema; "Those who are too smart to engage in politics are punished by being governed by those who are dumber" ingawa wenzetu wa nchi zilizoendelea wamefanikiwa kulidhibiti hili tatizo kwa kiwango kikubwa na mtu hapewi madaraka eti kisa tu anajiamini bali wanazingatia na uwezo wake pia, hili tatizo ni miongoni mwa sababu zinazorudisha nyuma maendeleo ya nchi zetu za Kiafrika.
   
 9. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  unajua tukiwa wadogo tulikua tunadanganyana sana mara ukinyoshea kidole kabuli lzm ukingate mana usipofanya ivyo unakufa,mara mtu akikuruka hurefuki,mara mtu akisimama wewe umekaa anakunyonya damu,so hata hii nilijua ni hizo hizo story kaka
   
Loading...