Mandown
JF-Expert Member
- Apr 8, 2012
- 1,665
- 503
Hallow wana JF
Takriban wiki mbili tatu hivi nilipata fursa ya kuhudhuria harusi ma mama mmoja, walikuwa wanabariki ndoa washaishi kama mume na mke zaidi ya miaka 30 kwa maana kijana wao wakwanza ana umri huo.Mambo makubwa mawili yalinistaajabisha.
. watato wa Wanaharusi Na wajukuu hawakuruhusiwa kufika Kanisani Au Ukumbini ambapo receiption ilifanyika. Hii mie naoan haikuwa sahihi. Wamewanyima furaha watoto wao kuhudhuria tukio muhimu la kihistoria katika familia yao, hata
ukumbini kushangilia wazazi wao noyo tabu!!!!!
Pale mchungaji alipo iombea ndoa hiyo ipate matunda "watoto" wakati wanandoa wana wajukuu!!.