Kumbe kuteseka kwa wanaume ni furaha kwa wanawake? Ni kama kukomoana

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,014
Nimejifunza hili in a hard way kweli wanawake wengi wanaishi na wanaume kiushindani. Kila anachofanya mwanamke na yeye anataka kufanya. Nimejifunza kwa uchungu sana hili.

Na ndomana wakati mwingine hata ukitongoza unasumbuliwa tu bila sababu yoyote ya msingi: lengo ni kutaka kukuona unateseka na kumnyenyekea yeye ili afurahi akufikirie.

Wazazi hasa wanawake wanawapa mabinti zao viburi na utovu wa nidhamu.makanisani vikao vya mabinti na wanawake kila Jumapili,
hii yote ni kumpa nguvu yeye.Siyo ajiongoze bali achuane na mwanaume(sorry).

Mara chache sana nimesikia wakisema wanaume wabaki. Mara nyingi ni wanawake wabaki baada yaibada.

Kitchen parties zote ni kwa wanawake, sijasikia hafla zozote za kuwaita wanaume na kuwakalisha chini kuwapa mafunzo ili wawe waume bora ndoani.

Kifupi unapoteseka mwanaume, kwa mwanamke ni furaha. Umewahi kujiuliza kwa nini mwanamke anakukataa anataka muwe marafiki yaani kama washkaji, halafu anataka usiwe na mahusiano,yeye angali ana mtu wake?

Umewahi reason why ukimueleza umepata mpenzi anakuchunia taratibu na kuukata urafiki wenu na hata kuku block kabisa?.

Nyie wazee wetu mnatufelisha sana watoto wenu wa kiume,kwa nini nanyi msiwe na parties za kutufua vijana wenu dhidi ya majukumu yandoa?
 
Nimekuelewa sana uliposema ..wazee wawafunze vijana kuhusu masuala ya ndoa..

tatzo elimu ya darasani imekamata kila kitu, vijana hawaambiliki
 
Back
Top Bottom