Kumbe kutekeleza ahadi kazi: Mjane wa Mwangosi alia na Slaa

Status
Not open for further replies.
Nawakumbusha kuna waziri fulani anayeyokea mbeya alisema na yeye atasomesha watoto wa marehemu sasa huyo mama ili ujie anatumika kisiasa nw kama watoto hawajakwenda shule mbona hakumtaja huyo waziri na akarukia kwa dr he he amakweli nimeamini tanzania kuendelea ni kazi vyombo vya habari vimekalia mipasho tu, well kunamambo mengi ya msingi ya kuandika naona mtumie muda mwingi kuongelea ziwa Malawi linavyo taka kuporwa ili watu wa fahamu hilo na si mipasho
 
Mkuu Mungi mimi nimesikia tu kwenye magazeti mjane akipiga mayowe. Mkuu ule msiba mimi naona kama ulifanywa wa kisiasa. Siku hizi Tanzania tunageuka taratibu kuwa kama wakenya. Wakenya siasa ni kila mahala iwe msibani, kanisani ama smikitini ni siasa kwa kwenda mbele. Msiba wa mwangosi ulifanywa wa kisiasa na matokeo yake ndiyo hayo yanakuwa ya kisiasa.

Nimesikia tena ati Zitto Kabwe ametoa ahadi ya kumpatia mjane wa Marehemu Mwangosi huduma za afya kwa miaka miwili! Ahadi nyingine ya kisiasa toka kwa mwansiasa.
Naunganisha na Signature yako "CCM na CDM vyote ni vyama vya siasa vinavyoongozwa na wanasiasa; tofauti yao kubwa ni moja kwamba kimoja kina dola kingine kinataka kushika dola."... Sasa swali je unaweza kuwa na chama cha kisiasa ambacho hakiongozwi na wanasiasa? tutakiitaje?

Hoja ya Mungi ni kuwa unafahamu ahadi ya Dr Slaa? Kama jibu ndio aliahidi nini? na Mjane wa Mwangosi anadai nini? Kuna uhusiano wa ahadi ya Dr na madai ya mjane? From there sasa tunakuwa kwenye position ya kuhukumu as Great Thinkers who dares to talk openly.
 
AIBU aibu watu kupenda Makamera, maflash na kukaa nyuma ya vinasa sauti mradi uonekane mwenye uchungu kumbe Siasa tu
Hakuna haja ya kutoa ahadi ww toa pole tutakuona

Ilikuwa ahadi ya kulipia karo za shule! Vipi,Mwandosya,yeye ameshalipia?
 
Mkuu naona leo gazeti limeamka vibaya na Dr Slaa na inawezekana, sina uhakika kuna msukumo wa kisiasa nyuma yake.

Halafu mbona habari yenyewe inatoka ktk magazeti ambayo ni ant Chadema tu ?

Kwanza ungetuambia hiyo ahadi aliyoitoa tarehe yake ya mwisho --dead line ni lini ndio tupande msingi wa kumtuhumu Dr Slaa. Bila hilo hatuna haki hiyo. Unajuaje kama amepanga kutimiza ahadi hiyo mwezi Nov 2012?

Nimesikia kupitia uchambuzi wa magazeti kwamba Mjane wa Marehemu Daud Mwangosi analilia rambirambi alizoahidiwa na Dr. Slaa kwenye msiba wa mme wake. Anwalilia waandishi wamsaidie kupata hizo rambirambi toka kwa Dr. Slaa.

Kumbe kutekeleza ahadi kazi kweli kweli!

Mkuu Kimbunga umesikia vibaya.
 
Kwani hao watoto/mtoto alikuwa anadaiwa ada ya shule wakati Marehemu yupo hai?
Maana sielewi kwa nini alie badala ya kukaa chini na kumwombea Dr Slaa baraka.

Kwani alimwambia lini atamsomesha? Huyo mtoto yupo nyumbani hana shule? Si amepokea pesa juzi kama kweli anadhamini na anahitaji mtoto aende shule si atumie hizo?

Anataka apewe pesa then atie mfukoni pia? Dr Slaa labda anashughulikia plan ya kusaidiaje, labda kufungua acoount ya pesa zitoke humo direct kwenda shule hapo baadae.

Ok nisaidieni kujua, huyo mtoto haendi shule now? Kwani ni makosa Dr kutaka saidia? Mie nilivyosomaga niliamini ni baadae labda from next year ndo atasaidia au baadae zaidi. Wewe mama hii inakuvunjia heshima as wengine watakimbia kukupa ahadi. Kama kuna mtu mwingine kasema atakusaidia basi usitumie kuharibia Chadema kuongoza.

Umeshindwa kumtafuta simuni kama una shida?
Hapo kwenye blue,wkt Dr anaahidi hakujua hayo uliyohoji?Hapo kwenye red kwani hizo pesa umeambiwa ndizo ziliahidiwa na DR?Hapo kwenye cyan colour hivi inachukua muda gani kuchakata mfumo wa akaunti?Usitetee aibu ibebeni nzima nzima!!
 
Mkuu, yaani hadi leo unaziamini habari za magazeti ya Tz? Kumbuka wengi ni wafanyabiashara so wanajua wakimweka Slaa front page watauza. Kuna gazeti liliandika "Slaa akamatwa kwa rushwa" ukisoma ndani kumbe ni "Jerry Slaa". Halafu inategemea ni gazeti gani, kama ni "uhuru" wala usiulize manake walishaweka maadili ya uandishi pembeni!
 
Mkuu Mungi mimi nimesikia tu kwenye magazeti mjane akipiga mayowe. Mkuu ule msiba mimi naona kama ulifanywa wa kisiasa. Siku hizi Tanzania tunageuka taratibu kuwa kama wakenya. Wakenya siasa ni kila mahala iwe msibani, kanisani ama smikitini ni siasa kwa kwenda mbele. Msiba wa mwangosi ulifanywa wa kisiasa na matokeo yake ndiyo hayo yanakuwa ya kisiasa.

Nimesikia tena ati Zitto Kabwe ametoa ahadi ya kumpatia mjane wa Marehemu Mwangosi huduma za afya kwa miaka miwili! Ahadi nyingine ya kisiasa toka kwa mwansiasa.

Mwanasiasa kutoa ahadi ni 'kosa la jinai' ?? Au wanasiasa hawaruhusiwi kutoa ahadi (kwa mujibu wako wewe) ??
CCM na vibaraka wake mnajaribu sana kusahaulisha watanzania kuhusu udhalimu ma mauaji ya kinyama unayoyafanya !!
Hamtaweza kamwe kuepuka dhambi hizi zote mlizozitenda kwa hiyari yenu wenyewe !!
Sasa mnajaribu kuficha madhambi yenu kwa kuchafua watu wengine !!
Hapa dhambi kubwa ilikuwa ya mauaji ya David Mwangosi.
 
Wakuu,
Nimesoma habari hiyo kwa HABARI LEO. Ni habari iliyokaa kiudaku sana.
1. Mjane wa Mwangosi (RIP) anasema kuwa aliahidiwa na Dkt Slaa kusomeshewa mtoto.(Willbroad alikuwa amaefika kuwapa pole wafiwa)
2. Mjane wa Mwangosi (RIP) anasema kuwa aliahidiwa na Profesa Mwandosya kusomeshewa mtoto.(Mark alikuwa anawasilisha salamu za serikali).

Na kwamba, Slaa baada ya kutoa ahadi hiyo, hakuwasiliana na familia(mke wa marehemu Aneth) tena. Na kwamba mjane aanawasiliana na Mwandosya (KUWASILIANA, na si kumpa rambi rambi au la).

KEY FACTS
1. Mwandosya na Slaa WOTE hawajaanza kuwasomesha watoto husika.

2. Slaa na Mwandosya walisema WATAWASOMESHA watoto na si KUTOA HELA(rammbi rambi)

3. Habari Leo, nachelea kusema, ni gazeti la udaku na propaganda kama UHURU, SAUTI HURU, AL NOOR etc. Kicha cha habari kimeandikwa hivi :" MJANE WA MWANGOSI ALILIA RAMBIRAMBI ZA SLAA. ADAI HANA MAWASILIANO NAYE, AOMBA WANAHABARI WAMSAIDIE" na habari yenyewe imeanza kuandikwa hivi " Utamaduni mpya wa siasa za misibani, unaoeandana na mauaji yaliyotokana na ukaidi wa wanasiasa kwa Jeshi la Polisi, umeanza kuiumbua CHADEMA ambayo imekuta ikishindwa kutimiza ahadi ndogo ndogo za kutoa rambirambi inazoaihidi kwa wafiwa..."

4. Mwandishi hajaaandika jina lake, katumia tu NA MWANDISHI WETU. Kwa nini Mhariri kaamua kutokuweka jina la Mwandishi kama issue si ya kimbeambea? Kuna haja gani ya mwandishi/mhariri kutokutanabahisha jina wakati mwandishi huyo (a) Alimpigia simu Dkt Slaa (b) Alikuwepo kwenye kikao cha waandishi walipoambiwa na Aneth juu ya Dkt Slaa kutokutimiza ahadi.

Mwandishi amehitimisha tu kuwa alipiga simu ya Dkt Slaa na haikujibiwa. Hivi alishindwa (a) Kumpigia tena baadaye? (b) Kumumia ujumbe wa maandishi ili akiupata aweze kujibu? (MWANAHALISI wao walikuwa wakikutafuta, haupatikani au haupokei simu, wanakutumia sms) (c) Kuwasiliana na Msaidizi wa Katibu Mkuu au Mkurugenzi wa Habari (Mh. Mnyika) au Afisa Habari (Makene) au mtu yeyote?

5. Mjane (Aneth), alipoona hajapigiwa simu na Dkt Slaa kumwambia "the next course of action", alifanya jitihada gani za kumpata? (a) Kuwataarifu wana habari wamsaidie kumtafuta? (b) Kuwasiliana na Mjengwa (wakati anampa rambi rambi alizokusanya) ili amsaidie kumtafuta Dkt Slaa? (c) Kuwasiliana na Mh. Msigwa ili amsaidie kumpa mawasiliano ya Katibu Mkuu wake wa Chama (Kumbuka, Mh. Mch. Msigwa yuko tu nyumbani kwa mapumziko kutokana na kusumbuliwa na mguu). Hapa, utagundua kuwa, mjane wa Mwangosi (RIP) anatumiwa kisiasa kama ambavyo wale wa Arusha na Morogoro walivyogeuka.

6. Mada hii inachangiwa na kushabikiwa sana na MEMBER waioingia hapa jamvini mwezi SEPTEMBA 2012. Hao wanamponda Dkt. Slaa na "rambirambi ya mtoto wa Mwandisi (RIP)"

Yetu macho, kwani kila kashfa na tuhuma dhidi ya Dkt. Slaa hushindwa : (a) Udini (b) Ubabe na kuendesha chama kifamilia (c) Wizi wa pesa za ujio wa papa (d) Kuiba mke wa mtu (e) Kutelekeza familia...

MH. DKT. W.P. SLAA, ATAWANYIMA SANA USINGIZI NYIE WAFITINI NA WAZANDIKI
 
Hapo kwenye red, nimejiuliza hapa, mbona inazungumzwa ahadi ya Dr. Slaa tu. Huyo mama ameshapewa ahadi aliyoahidi Mwandosya? Mbona nae aliahidi kumsomesha mtoto mmoja? Ndio maana nasema anatumia kisiasa!

Usiwe mvivu soma habari yote...
Haya ndo matatizo ya kuleta siasa na kuuza sura misibani.
 
Kwani hao watoto/mtoto alikuwa anadaiwa ada ya shule wakati Marehemu yupo hai?
Maana sielewi kwa nini alie badala ya kukaa chini na kumwombea Dr Slaa baraka.

Kwani alimwambia lini atamsomesha? Huyo mtoto yupo nyumbani hana shule? Si amepokea pesa juzi kama kweli anadhamini na anahitaji mtoto aende shule si atumie hizo?

Anataka apewe pesa then atie mfukoni pia? Dr Slaa labda anashughulikia plan ya kusaidiaje, labda kufungua acoount ya pesa zitoke humo direct kwenda shule hapo baadae.

Ok nisaidieni kujua, huyo mtoto haendi shule now? Kwani ni makosa Dr kutaka saidia? Mie nilivyosomaga niliamini ni baadae labda from next year ndo atasaidia au baadae zaidi. Wewe mama hii inakuvunjia heshima as wengine watakimbia kukupa ahadi. Kama kuna mtu mwingine kasema atakusaidia basi usitumie kuharibia Chadema kuongoza.

Umeshindwa kumtafuta simuni kama una shida?

Issue siyo Dr Hajatoa Rambirambi issue ni kwamba huyo mjane hajaweza kumpta Dr kwa mawasiliano! Hii habari ya kishabiki, mbona mwandosya na yeye hajatoa?
 
Hivi Rambirambi ni deni? Mbona inakuwa kazi?

Kinachotakiwa kutekelezwa ni ahadi, iwe rambirambi, kusomesha watoto, kuhonga au ahadi yoyote ile lazima itekelezwe. Dr. Slaa peleka hiyo rambirambi. Namshauri mjane awapuuze waandishi kwani wao hawakumchangia zaidi ya kutumia msiba huo kuuza magazeti yao.
 
Mjane wa Mwangosi alilia rambirambi za Slaa

HabariLeo | Oktoba 05, 2012
]hapo kwenye red, laana zitaendelea kuwaandama kwa kushindwa kutafuta habari za kuandika na kuishia kuandika na kufuatilia upuuzi.
Kama kuna elimu ya uandishi wa habari basi mwandishi wa habari hii na mhariri watakuwa waliishia mhula wa kwanza wa darsa la tano kuelekea chuo kikuu!

Wakuu,
Nimesoma habari hiyo kwa HABARI LEO. Ni habari iliyokaa kiudaku sana.
1. Mjane wa Mwangosi (RIP) anasema kuwa aliahidiwa na Dkt Slaa kusomeshewa mtoto.(Willbroad alikuwa amaefika kuwapa pole wafiwa)
2. Mjane wa Mwangosi (RIP) anasema kuwa aliahidiwa na Profesa Mwandosya kusomeshewa mtoto.(Mark alikuwa anawasilisha salamu za serikali).

Na kwamba, Slaa baada ya kutoa ahadi hiyo, hakuwasiliana na familia(mke wa marehemu Aneth) tena. Na kwamba mjane aanawasiliana na Mwandosya (KUWASILIANA, na si kumpa rambi rambi au la).

KEY FACTS
1. Mwandosya na Slaa WOTE hawajaanza kuwasomesha watoto husika.

2. Slaa na Mwandosya walisema WATAWASOMESHA watoto na si KUTOA HELA(rammbi rambi)

3. Habari Leo, nachelea kusema, ni gazeti la udaku na propaganda kama UHURU, SAUTI HURU, AL NOOR etc. Kicha cha habari kimeandikwa hivi :" MJANE WA MWANGOSI ALILIA RAMBIRAMBI ZA SLAA. ADAI HANA MAWASILIANO NAYE, AOMBA WANAHABARI WAMSAIDIE" na habari yenyewe imeanza kuandikwa hivi " Utamaduni mpya wa siasa za misibani, unaoeandana na mauaji yaliyotokana na ukaidi wa wanasiasa kwa Jeshi la Polisi, umeanza kuiumbua CHADEMA ambayo imekuta ikishindwa kutimiza ahadi ndogo ndogo za kutoa rambirambi inazoaihidi kwa wafiwa..."

4. Mwandishi hajaaandika jina lake, katumia tu NA MWANDISHI WETU. Kwa nini Mhariri kaamua kutokuweka jina la Mwandishi kama issue si ya kimbeambea? Kuna haja gani ya mwandishi/mhariri kutokutanabahisha jina wakati mwandishi huyo (a) Alimpigia simu Dkt Slaa (b) Alikuwepo kwenye kikao cha waandishi walipoambiwa na Aneth juu ya Dkt Slaa kutokutimiza ahadi.

Mwandishi amehitimisha tu kuwa alipiga simu ya Dkt Slaa na haikujibiwa. Hivi alishindwa (a) Kumpigia tena baadaye? (b) Kumumia ujumbe wa maandishi ili akiupata aweze kujibu? (MWANAHALISI wao walikuwa wakikutafuta, haupatikani au haupokei simu, wanakutumia sms) (c) Kuwasiliana na Msaidizi wa Katibu Mkuu au Mkurugenzi wa Habari (Mh. Mnyika) au Afisa Habari (Makene) au mtu yeyote?

5. Mjane (Aneth), alipoona hajapigiwa simu na Dkt Slaa kumwambia "the next course of action", alifanya jitihada gani za kumpata? (a) Kuwataarifu wana habari wamsaidie kumtafuta? (b) Kuwasiliana na Mjengwa (wakati anampa rambi rambi alizokusanya) ili amsaidie kumtafuta Dkt Slaa? (c) Kuwasiliana na Mh. Msigwa ili amsaidie kumpa mawasiliano ya Katibu Mkuu wake wa Chama (Kumbuka, Mh. Mch. Msigwa yuko tu nyumbani kwa mapumziko kutokana na kusumbuliwa na mguu). Hapa, utagundua kuwa, mjane wa Mwangosi (RIP) anatumiwa kisiasa kama ambavyo wale wa Arusha na Morogoro walivyogeuka.

6. Mada hii inachangiwa na kushabikiwa sana na MEMBER waioingia hapa jamvini mwezi SEPTEMBA 2012. Hao wanamponda Dkt. Slaa na "rambirambi ya mtoto wa Mwandisi (RIP)"

Yetu macho, kwani kila kashfa na tuhuma dhidi ya Dkt. Slaa hushindwa : (a) Udini (b) Ubabe na kuendesha chama kifamilia (c) Wizi wa pesa za ujio wa papa (d) Kuiba mke wa mtu (e) Kutelekeza familia...

MH. DKT. W.P. SLAA, ATAWANYIMA SANA USINGIZI NYIE WAFITINI NA WAZANDIKI

Tumekuelewa, Tanzania Daima likitumia Mwandishi wetu tujue habari hiyo ni ya udaku tuidharau.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom