Kumbe Kunguru hufugika ! , na Kanga huzaa ugenini ! , ili mradi tu .............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe Kunguru hufugika ! , na Kanga huzaa ugenini ! , ili mradi tu ..............

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Aug 22, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Haya si maneno yangu , ni Swaiba wangu .
  Na kwa mnyegesho wa maneno ili tupate mnogesho wa habarize nimnukuu .
  > Swaiba ; Bw Judgement hii habari ya wanaosema eti Kunguru hafugiki , na eti Kanga hazai ugenini si kweli kabisa! Ni vile tu wengi hua hawaelewi namna ya utaratibu wa kufanya.
  Kunguru ukimfuga kikungurukunguru anafugika!
  Na Kanga ukimfuga Kikangakanga anazaa tu, ili mradi ujue utaratibu wa ufugaji .
  (mwisho nukuu)
  Kikawaida waswahili tutumiapo misemo hiyo ya Kunguru hafugiki , hua hatumlengi sana real kunguru , aidha hua tuna maana pana zaidi katika kusanjarisha na matukio tukutanayo in our daily activities .
  Aim yangu hapa ni kutaka maono yenu , je? Wako member hapa washafanikiwa fuga Kunguru wakafanikiwa? Na waliofuga Kanga akalalia , akaengua na akalea vifaranga wake?
  Note ; ijadiliwe kwa maana pana na si kwa maana finyu .
   
 2. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mh!
  kumbe bora kimombo!
  Judgement kaka kiswahili chako kigumu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mimi nimemfuga kunguru wangu kagoma
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hapo hata sijaelewa umeongea nini...
   
 5. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  The secretary nashkuru umenielewa! Na tena mpaka nahisi kutaka kumjua kunguru huyo umsemae!
   
 6. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  Hivi kweli Judgement na maujanja yako na kisomo chako cha ualimu sijui ni wa o au a au chuo
  unategemea kupata kunguru hapa hapa jf kwa njia ya pm alafu awe wako tu, hapo itakuwa ngumu sana
  uliambiwa ukaoe kijijini kwenu ukaja juu, yamekukuta vumilia kwani maji ukiyavulia nguo lazima uyaoge.
   
 7. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Forexample !
  Would you marry an ex prostitute girl ?
  Probably be best sex you ever had, because she would so much more experienced than you! And could teach you a lot of fun stuff ?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Ni kweli Mamndenyi ume'shut through to the bull katika comment, but refar hapa namsemea Swaiba wangu , (my coallegue) for me am adult enough!
  Nishapenetrate kwenye mishale, mikuki, na pinde lukuki !
   
 9. dri ma

  dri ma Senior Member

  #9
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi kwangu kunguru alifugika nkiwa TA 1st tym nlimdaka le grand la casa chika nikamlisha vzur ucku ule kulivyokucha nkamwachia cha ajabu cku 2 badae katafuta lilipo banda langu et anataka niendelee kumfuga 2 kw madai kwmba ma food z so delicious that she cant fly away frm me; kiukwli ckuamin ila baada ya kamda nlijua kunguru kakubali kufugw na sa hv ndo kakolea ile mbaaaya
   
 10. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hapa naona kuna ukweli flani hivi !
   
 11. data

  data JF-Expert Member

  #11
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,747
  Likes Received: 6,518
  Trophy Points: 280
  mh!.........
   
 12. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #12
  Aug 22, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Tatizo hapo kwenye kumfuga kikunguru, mara nyingi wafugaji huwa tunataka kuwafuga tutakavyo (as opposed to kikunguru-kikunguru) na hapo ndipo taabu inapoanzia. Sijajaribu but let me see...
   
 13. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #13
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  You just try the agenda !
   
 14. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #14
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kunguru asili yake mizoga...
  Anapenda kula mizoga...
  Tena unatakiwa umwache huru ale mizoga.....
  Na mizoga siyo bei ghali jalalani inapatikana Mizoga...
  Ukimfuga kunguru jua kutafuta mizoga ya kumlisha na ujue na wewe utakuwa unanuka kimizoga mizoga.....
   
 15. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #15
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Na hapa pia nime'appreciate! You hv been think out of the box!
  Yaani wakati coacher anakwambia uingie pitch, already ushajua where mistake is !
   
 16. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #16
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  mmmmmmh!
   
 17. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #17
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mbona unamjua
   
 18. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #18
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,700
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Hapa ngoja nijifiche nione kama watu watakuwa tayari kukubali kama kunguru wao wame washindwa!
   
 19. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #19
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ukiona kunguru kakubali kufugika ujue huyo sio mwenyewe, kama ndiye basi labda ni chotara.
  Lakini huyu kunguru wa zanzibar ninayemfahamu hafugiki ng'o!
   
 20. Duzente Siqwente

  Duzente Siqwente JF-Expert Member

  #20
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  4 my opinion ''Akili ya kuambiwa changanya na yakwako usikurupuke hayo maneno yaliyotumika hapo juu ni mazuri sana na yana mafundsho mazuri sana naskitika kutokua na muda wa kutosha kuyafafanua
   
Loading...