Kumbe kuna Watanzania/Wazungu wanaoiba samaki bahari ya Hindi pia?

Iga

Senior Member
Dec 17, 2007
112
6
Mganda afichua kampuni za Kitanzania kumbe zinavua bahari ya Hindi

Mgamba aliyetiwa ndani na Kanali Abubakari aliyevurumishwa toka Anjuani baada ya majeshi ya Tanzania/Afrika kualikwa kumuondoa 'muasi' huyo na wakuu wa Grand Comoro amefichua kuwa kumbe kuna kampuni za Kitanzania mojawapo kwa jina la Williams Thomson Fisheries ambazo zinaendesha raha mustarehe uvuvi bara hindi kati ya Tanzania na Comoro.

Tulikuwa tunadhani wanaokwiba samaki zetu wapo nje ya Tanzania tu kumbe pia baadhi yao wamo humu humu ndani wengine wakiwa na makazi Mbeya na hadi kule Sumbawanga.

Je, serikali imeisikiliza BBC na huyo Mganda na je, ina habari na kile kinachoendelea?
 
Back
Top Bottom