Kumbe kuna wanawake wazuri sama humu Jamiiforums

Mkuu mimi binafsi sijawahi kukutana na mwanamke m`baya humu JF,vile sio wote tunapenda kuropoka ropoka,hongera kwa kupata mtoto mzuri humu...tunakusifia kwa bahati iliyokuangukia!
 
He he bado shuhuda moja naisubiri sana.

Hongera jamaa kwa kushikwa ukishikwa shikamana.

Mkumbushie huyo anayeishikilia hiyo shuhuda Mkuu labda aliishasahau, ila wewe ukidhani bado anakumbuka ama kwake ilikuwa kawaida.
 
Afadhali katutoa kimaso maso member mwenzetu maana kila siku tunapondwa humu na sura za baba zetu. Wengine na kutukimbia kabisa kisha kuja kusimulia.

Mungu anaishi.
Kwakweli....
 
Afadhali katutoa kimaso maso member mwenzetu maana kila siku tunapondwa humu na sura za baba zetu. Wengine na kutukimbia kabisa kisha kuja kusimulia.

Mungu anaishi.
Wanawakimbia au mnawakimbia kuna wengine humu hata umpe namba anakupuuza wamo humu
 
Back
Top Bottom