Kumbe kuna wanawake wazuri sama humu Jamiiforums

CHAKATI MKATO

Member
Dec 4, 2018
29
53
Kwanza niwasalimu wakuu wote, poleni na Mihangaiko ya hapa na pale. Kwenye mada sasa kama ambavyo kichwa kimesema Mimi binafsi ni moja kati ya watu Ambao walikua hawaamini kunaweza kuwa na Mwanamke mzuri Jamiiforums ila sasa nimezibwa mdomo nimefumbwa macho hata ushuhuda nautoa kwa keybord tu.
Ilikua hivi, kwa muda nilikua single Japo sijawahi kuonyesha hii kwa ID yangu ya zamani ambayo ni mtu fulani wa kujisifia pasipo kua na uhalisia. Huyu dada mzuri, mcute vijana wa sasa wanasema ana uzuri kama wote kuanzia colour composure, chura, macho, urefu, na kila kitu kina ratio inayohitajika kama constant ya pie.
Kukutana nae ni katika uzi fulani ambapo nilichangia kama ilivyo kawaida yangu huwa nachangia maada karibu zote humu MMU jukwaa pendwa. Sasa huyu Bidada alikujaaa akachangia kwa kuniquote na jibu lake sikulipenda, hapo nilimjibu vibaya sana na mara nyingi huwa nafanya hivi Ili kuanzisha league tu lakini mdada akawa mpole akashuka akanijibu tena. aliponiibu ikabidi nikaangalie tena profile yake nikakuta japo ana Muda mrefu ila siyo mchangiaji saana nikagundua maada ile ilimgusa nikaangalia na michango yake mingine nikagundua huwa anachangia sana maada za namna kama ile.
Baada ya kugundua hayo nikamfuata Pm ilichukua kama siku tatu ikajibiwa hapo ndo ukaw mwanzo wa kufahamiana nae nikawa namgusia sana kuhusu lile swala linaloonekana kumsumbua hapo ndipo urafiki ukaanza tukarushiana picha kwa kweli nilishtuka sikutegemea kama angekua mzuri hivi Maana haendani na matatizo aliyonayo. Baada ya hilo kutokea roho ya fisi ikaniinngia nikajikuta mamuomba mawasiliano bila hiyana akanipa nikaanza kumuomba tukutane japo dinner au swimming tu tuongee akakubali.
Siku ya kukutana nae sasa alikuja amendeza mno me niko zangu simple sana hadi nikaanza kujiskia aibu, ila nachoshukuru huyu sio type za wale yo know nyingi. Kwa sasa tunafahamiana nimejua kumbe anjishughulisha na Biashara zake. Kwa muda mrefu kidogo sijakutana na Mwanamke kama huyu ambaye haombi ombi hela ananiulizia kuhusu mihangaiko yangu na kunipa pole aisee bapata raha natamani wanaume wote wangekua kama mimi. Nina wiki saba tangu tufahamiane ila uzuri wake hauishi kunishangaza.
Najua atasoma huu uzi ila hatachangia ila anajua ni jinsi gani namkubali. kwa Wanaume wenzangu hasa mliowahi kupitia uzi wa kwanini wana JF wengi wafupi na wana sura za ajabu nataka kuwafahamisha kuwa humu kuna vombo hatari endeleeni kutupa ndoano tu mtawapata. ni hayo tu niwatakie mwanzo wa weekend njema..
 
Mkuu si ulipewa mawasiliano? Nipe ili nikaprove kama unayoyasema ni kweli.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom