Kumbe kuna wanawake wazuri sama humu Jamiiforums

Jamani msinifanye nirud kwenye majukwaa ya siasa..

Kwan kuna anae nipinga katika hili wanaume wenzangu....????
 
Hahahahahaahahah mm kabla sijakujibu naomba nikuulize swali..je, kuna wanawake wa jamii forums na wa mtaani?
Wamtaan wapo apa naona wakipita pita. Wanapenda kuzulula peke yao na kimakundi, na si job wanatoka
Na wengine wakipata muda huwa ni fb na insta utawakuta

Lakin wew najua hutembei now umekaa.
 
Acha kudanganya umma mkuu hawa hawa baadhi usikute ndio wa ambiance kona bar...hapa hatujuani hamna haja ya kusifia ujinga
 
Acha kudanganya umma mkuu hawa hawa baadhi usikute ndio wa ambiance kona bar...hapa hatujuani hamna haja ya kusifia ujinga
Mmmmmh kama ni hvo bas haizid asilimia 9 ya hao unao wasema
 
Wamtaan wapo apa naona wakipita pita. Wanapenda kuzulula peke yao na kimakundi, na si job wanatoka
Na wengine wakipata muda huwa ni fb na insta utawakuta

Lakin wew najua hutembei now umekaa.
Yaan me hata siwaelewi hahahahahahah
Kwan hao wa mtaani si ndo wakitulia wanaingia jf kichat?
 
Back
Top Bottom