Kumbe Kuna Rais wa kiAfrica anayemfunika JK kwa kuwa Titiles nyingi!

Mawazo yake hayako mbali na ya Iddi Amini dadaa. Nahisi pia mwisho wake hautakuwa tofauti sana, na aidha wa Iddi Amini au wa Ghadafi
 
Sidhani kama wananchi wake waliyapata hayo mahojiano. Yaani ni upupu. Anaropoka hovyo.
 
Ila wote majina yao yana J kwa sana. Jammeh Jakaya Yahya Jakaya Jakung,. Wote ni watu wa Mohammad na wana mtindio wa bongo kwa sana. Jakung na Jakaya wote wanapenda sifa tena za dezo. They all are but buffoons.
 
Nimesoma wachangiaji wengi humu, lakini, bado watu wanashindwa kuelewa point kamili ya huyu Rais wa Gambia. Kwanza kuwa kiongozi mzuri siyo lazima uwe na MBA, au PhD. Unaweza ukawa na elimu ya msingi na unaweza ukawa Rais na pia ukawa kiongozi mzuri.

Pili huyu Rais wa Gambia, ni mwanajeshi. Na mwanajeshi yoyote lazima ajibu majibu yake kwa kujiamini zaidi.
 
Wadau kama kuna mtu ana ile conersation ya mkuu wa kaya na VOA aiweke hapa ili tulinganishe na hiyo ya huyo wa Gambia, tuangalie ni yupi kati yao ni KIAZI ZAIDI.
 
Mnisamehe sitachangia......nilidhani Rais anayemshinda JK kwa TETESI kumbe ni TITLES
 
sidhani kama wananchi wake waliyapata hayo mahojiano. Yaani ni upupu. Anaropoka hovyo.

mtu mmoja
his excellence
dr
sheikh
mr president
commender
khaaaaa
sasa anavitumiaje vyoteeee? Magumash
kichwa empty
 
Back
Top Bottom