Uchaguzi 2020 Kumbe kuna hatari ya kukosa Trilioni 2 kutoka kwa Wahisani kutokana na Kasoro za Uchaguzi(?)

Anaandika Leonce Marto wa CHADEMA kupitia mtandao wa Twitter:

Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinataka kamati za kudumu za PAC na LAAC ziongozwe na wapinzani, CHADEMA hatupeleki Wabunge wa Viti Maalum na hatutaki kunajisi chombo hiki muhimu cha wananchi.

Mtakosa 2 Trillion za Donor Countries kwa nchi kukosa utawala Bora

Mengi yanakuja CCM jiandaeni.
Kama tunanunua ndege cash, hizo trillion 2 ni issue kweli? Hivi zipo kwenye shilingi au dola au euro au pauni ya Uingereza? Kwani TRA wanakusanya shs ngapi kwa mwezi kwa sasa?
 
Anaandika Leonce Marto wa CHADEMA kupitia mtandao wa Twitter:

Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinataka kamati za kudumu za PAC na LAAC ziongozwe na wapinzani, CHADEMA hatupeleki Wabunge wa Viti Maalum na hatutaki kunajisi chombo hiki muhimu cha wananchi.

Mtakosa 2 Trillion za Donor Countries kwa nchi kukosa utawala Bora

Mengi yanakuja CCM jiandaeni.
Bado kuna hatari zaidi
 
Back
Top Bottom