Kumbe kinachompa kiburi OCD wa Arusha Zuberi ni baba mkwe kamishna Mtweve | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe kinachompa kiburi OCD wa Arusha Zuberi ni baba mkwe kamishna Mtweve

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by migomo ya vyuo, Nov 8, 2011.

 1. m

  migomo ya vyuo Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimepewa taarifa na hizi ni zakusikitisha kwani kunahabari inasema OCD zuberi ameoa kwa kamishina Mtweve na inasemekana a]hakuna wa kumsumbua kwani baba mkwe na mwema wako vizuri na hawawezi kumfanya kijana wao akafa njaa hata kama Arusha watakufa wote ila Zuberi hata hamishwa kwa hali yoyote ile. naomba kuwasilisha wakuu.
   
 2. L

  Ludewa JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni vyema ukathibitisha. Kuliko Ivi ilivyoiweka. Mtweve Ana Binti?
   
 3. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,157
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  kwani hawa unaowataja ndo walioihodhi nchi kuwa yao au unamaanisha nini?
   
 4. Nani Kasema

  Nani Kasema Senior Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii Kali sasa
   
 5. fikrapevu sungura

  fikrapevu sungura Senior Member

  #5
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lets wait for more news.
   
 6. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Mtweve ni kamishina wa rasilimali watu katika Jeshi la polis Tanzania. Kama ni kweli na akiamua kutokufuata sheria, hata iweje, ana uwezo wa kumhamisha kutoka sehemu moja kwenda nyingine na hakuna atakayehoji jeshini.
   
 7. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Haya bwana kama kweli mbona tuna shida embu nikupe mfano baba ni rais wa nchi baba akunyanyase, mama akunyanyase, watoto wakunyanyase, ndugu wa baba wakunyanyase, ndugu wa mama wakunyanyase, marafiki wa baba wakunyanyase, marafiki wa mama wakunyase, marafiki wa watoto wakunyanyase,sasa endelea kutafakari raisi ana uhusiano na watu wangapi including mawaziri, wabunge so the list is long and very long? its time we stick to the law and strictly laws, kwa sababu hii kujuana hatufiki kabisaaaaa, im damn tired hata balozi wa nyumba kumi atakuhamisha kisa anamjua mwenyekiti wa kijiji. tunahitaji sheria kabisaaa, kwa sababu lot of people are thinking they are above the law and its very bad, majambazi wanaendelea kisa wanamjua raisi au any other, jamani we need a solution to this?
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,384
  Likes Received: 22,263
  Trophy Points: 280
  huyu OCD si ndio anayewaweka mjini ma kaka jambazi wa A town?
   
 9. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #9
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Na wewe weka sawa tujue kama ana binti au hana, au kama ana Mcameroon mtoto wa huyo Mtweve tujue. Nina declare interest kuwa njia ya kwenda kwetu ni moja na Mtweve lakini sitakubali atuaibishe kama alivyotuaibisha Luhanjo, kama ndie aliyemuweka yule bazazi pale Arusha azuie nguvu za umma kwa kisingizio cha ukwe basi naye amwagwe jeshini
   
 10. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #10
  Nov 8, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Nani wa kummwaga tena?,wamewekana, wanalipana na wanalindana,lets hope nguvu ya umma itatusaidia
   
 11. M

  MAJANI YA KUNDE JF-Expert Member

  #11
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hao polisi wanatumia matak...kufikiri hivi ukiwaacha chadema wafanye mikutano yao waache watembee nini kitatokea hebu ufike wakati waziri wa mabo ya ndania seme watnzania tupo huru au uhuru wetu upo chiniya mafala wa kuu wa polisi ole wenu ccm ikitoka madarakani ridhiwani,kina kawambwa mtatueleza kwanini mlikuwa ndugu wa jk tumechoka sasa. Tumefika pahala hata mtoto wa raisi ni rais,mke wa raisi ni raisi,hata house girl wake nae atatoa amri kama bosi wake,watanzania shime nchii inakwisha nanyi kwa ubinafsi wa shida zenu mnaka kimya
   
 12. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #12
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,335
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  Why don't we think the guy is just arrogant? Is there any way to connect his association with inlaws and hios behaviours? Before coming up with conclusion, If I were to understand why the guy is arrogant, I would dig deeper into his personality, characters and all that. Kwetu wengi hatumjui vizuri huyu bwana zaidi ya kumsikia kwa mara ya kwanza kwenye hii issue ya Arusha.
  I would spare him for the benefit of doubt!!
   
 13. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #13
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ama hakika kweli duniani kuna watu na viatu.
   
 14. Super Sub Steve

  Super Sub Steve JF-Expert Member

  #14
  Feb 26, 2015
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 9,825
  Likes Received: 2,443
  Trophy Points: 280
  kuna jamaa kaoa pale kwa Mtweve anakula Maisha,Upepo wa Maisha unavuma vizuri kwake aiseeee
   
Loading...