Kumbe Kikwete alikuwa na share Kempinski!? UNESCO walituokoa...

Sasa mzigo kawa JPM na inaonekana JK alikuwa poa sana ....CCM itatawala hadi tujitambue ...

Naona hujaelewa kinachoendelea, hapa JK huwa anapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa kama sehemu ya kumnanga JPM. CCM kutawala sio tatizo kwani wana haki hiyo ila wanatawalaje hapo ndio suala la msingi lilipo.
 
Mbona sasa kempsi inajenga Hotel huko serengeti manyara,ngorongoro na tarangire ,waziristan wa utali kaeleza.itakuwaje maana hotel zilizuiwa huko mbugani hata watumishi wa ngorongoro wamewajibika kuishi Karatu.waziri hajui hilo au ni utashi wa kila awamu.
 
Back
Top Bottom