Kumbe Kanali wa Jeshi ni cheo kikubwa kuliko cheo cha IGP

Sio majeshi yote ya ulinzi na usalama ni mkuu wa jeshi la wananchi ambalo ndani yake kuna majeshi mengine kama nchi kavu, anga na majini.
Majeshi yote na yepi? Nchi huwa ina jeshi moja tu hzo nyingine siasa
 
Majeshi = Kamandi za JWTZ + JKT
Navy, Air force ,Ardhini na JKT
Kwa hiyo CDF ni Mkuu wa JWTZ
Period
IGP ni Mkuu wa Polisi,na Polisi sio Jeshi
Nchi za wenzetu hawana Police Force,Wana Police Service ama Nationa Police
Mfano Kenya National Police
Tanzania Prisons Services (Magereza)
Ukisema Jeshi una Maana JWTZ
Polisi sio Jeshi,Magereza sio Jeshi,Zima Moto ,Uhamiaji pia sio Majeshi
Hao Wana wakuu wao na taratibu zao
Rais anavyosema analipongeza jeshi la polisi huwa hajui anachoongea??
 
Miaka furani tulifanya battle humu jf jibu la mwisho na ninalo liamini Ni kuwa vyeo vya jeshi furani havina hadhi katika jeshi lingine. Eg kufananisha Polisi na JW..... Kila jeshi Lina different ways of recruitment, kupanda vyeo, mafunzo N.K
Kuna mdau alitamatisha humu kuwa mtu wa Jeshi A halazimishwi kupiga saruti kwa mkubwa wa Jeshi B... Na endapo atafanya hivyo anafanya tuu kwa heshima na kwa kuamua.
Hapa kwetu polisi wanawapigia salute askari wa zima moto waliovaa vyeo vikubwa kuliko wao
 
Alafu IGP ni kama nani kijeshi? I mean cheo chake kinarandana na kipi?

Kama kweli wao ni wakubwa, je kwanini yeye ndiye alipigiwa saluti?
Kanali ni Bwana Mdogo Sana Kwa IGP ama CGP
Simple,Kanali ni kama SACP
 
Acha ulimbukeni wewe. Kama huelewi uliza. Kawaida salamu ya salute hupigwa ×1 tu na anaepigiwa ni mwenye cheo au madaraka makubwa katika kusanyiko. Huwezi kuwakuta askari 10 wanaokuzidi cheo ukapika salute ×10 bali unampigia m1 anaewazidi cheo hao 10.
Kuna siku nimewaona polisi bank walikuwa wanne akaja afande wao kila mmoja akawa anampigia salute yule afande niliwashangaa sana eti nao wanajiita jeshi hv hamnaga seniority?
 
Yani mkuu watanzania noma hata video hawajaangali lakini wanabishaa mpaka wanataka kupigana na matusi juu
Wewe huelewi kitu.
Toka lini Colonel akawa mkubwa kwa Mkuu wa Jeshi la Magereza?.
Yaani Kanali ambaye hana hata uwezo wa kuwasiliana moja kwa moja na Mkuu wa Majeshi awe sawa na Mkuu wa Magereza anayewasiliana moja kwa moja na Rais?.
Punguzeni bangi vijana.
 
Hivi wewe Shoga unajua kuwa CGP hicho Cheo anavalishwa na Raisi ????
JF kuna Mashoga mnapachafua sana
Sasa kama ndio rank ya juu kabisa kwenye hilo jeshi ulitaka avalishwe na nani? Mfungwa? Duuuh
 
Majeshi = Kamandi za JWTZ + JKT
Navy, Air force ,Ardhini na JKT
Kwa hiyo CDF ni Mkuu wa JWTZ
Period
IGP ni Mkuu wa Polisi,na Polisi sio Jeshi
Nchi za wenzetu hawana Police Force,Wana Police Service ama Nationa Police
Mfano Kenya National Police
Tanzania Prisons Services (Magereza)
Ukisema Jeshi una Maana JWTZ
Polisi sio Jeshi,Magereza sio Jeshi,Zima Moto ,Uhamiaji pia sio Majeshi
Hao Wana wakuu wao na taratibu zao
Kunywa bia kumi ntalipa Kitwanga ikitoka
 
Kuna siku nimewaona polisi bank walikuwa wanne akaja afande wao kila mmoja akawa anampigia salute yule afande niliwashangaa sana eti nao wanajiita jeshi hv hamnaga seniority?
Mkuu habari ya tutuo
 
Sasa ndio utuelekeze. Kwanini alibana mikono? Kwanini alipigiwa saluti? Je mkubwa wako anaruhusiwa kukupigia saluti?

Tuelekeze kitaalamu mkuu, unaweza kuwa sahihi lakini unapita juu juu tu
Kitaalamu ni Kwamba Saluti ya kijeshi ikipigwa kwa mwanajeshi aliyekatika uniform naye atajibu kwa salute sio kwa kubana mikono.
Kama huyo Kanali hakujibu kwa kupiga Saluti ina maana hiyo salami haikuwa yake.
 
Walio kwenye Majeshi wanazuzuka na Salute,na ukubwa sisi raia yeyote aliyevaa uniform ni mkubwa tunamuita Afande.Sasa ninyi lazima muwe na itifaki Jeshi,Polisi,nk lakini umahili ni kila mmoja ni bingwa katika eneo lake la kazi Mwanajeshi ukifungwa utamuheshimu askari magereza,ukikanyaga makosa ya jinai utapiga goti kwa njagu,ikitokea vita wote watakusikiliza nk.
Wanajeshi wanafungwa jeshini hao unaosema wewe walishafutwa au kusimamishwa uanajeshi wao hv ukimuweka komando magereza si atatoroka tu
 
Back
Top Bottom