Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,901
- 95,401
Aliesema jumatatu ni maulidi ni nani?....Maulidi inategemea mwezi utaandama lini!
Mkuu naongelea ofisi za umma maanake hakuna huduma mpaka J4 isipokuwa hospt tu.Sio wote wengine ndio tunatoka kazini muda huu
Ok kiongoziAsante Babati nimekupata sasa
Hii co baiskel kama utajfunza miez
Mm cna CV wala CDha ha ha,eti umejuaje,,we kweli ni mgeni.
Humu kuna watu wakiona jina geni lazima wacheki CV yako humu
Wewe umejiunga jana na umeshajua na quote? wewe kiboko.
Ni kweli mkuuAlikotoka alikuwa ana-quote pia.
Hahaaa, wanaenda kufungua ofisi zao binafsi!Shelk mkuu alishatangaza kuwa ni mapumziko, watanzania tulivyo wavivu wa kufanya kazi tumefurahia sana siku nne bila ofisi za umma kufunguliwa, hatari sana.
Hata mimi nimepata tabu kidogoMkuu!
Uandishi wako unatufanya tuchoke mapema kusoma. Utadhani unaandika meseji kwa shemeji co=sio, baiskel=baiskeli, miez=miezi, utajfunza=utajifunza
Siku 4 na huu mchacho ni balaa..
Sawa mkuuHahaaa, wanaenda kufungua ofisi zao binafsi!
Hapa Kenya ni madaraka, dayWakuuu hebu tujuzane j3 ni public holiday nimesikia hapa ni maulid day
Tatzo co wavvu hata posho na mishaara haij kwa wakat utaifurahia kaz yako kwel
Hii co baiskel kama utajfunza miez
Dah! Ww umejuaje kàma nmejiunga jana
Sawa sawa n ufukunyuku tu wa mitandao ndio umenpa uzoef
Rekebisha uandishi wako, hapa sio Facebook au Instagram....jitaidi ukue .!Mm cna CV wala CD