Kumbe Jumatatu ni sikukuu pia!!

Daahh sasa sisi wapiga dili na sikukuu ndefu hii situnaumia sanaa hahhaha
 
aseee mwenyew nlikuwa natamani san kuuliza swali kam hili,maana sikuwa na uhakika na watu wavokuwa wanasem,a...asante san mkuu.umeniwakilisha vema mawazo yangu.
 
Back
Top Bottom