Kumbe Jumatatu ni sikukuu pia!!

BAFA

JF-Expert Member
Jul 19, 2011
3,059
5,927
Wakuuu hebu tujuzane j3 ni public holiday nimesikia hapa ni maulid day
 
Shelk mkuu alishatangaza kuwa ni mapumziko, watanzania tulivyo wavivu wa kufanya kazi tumefurahia sana siku nne bila ofisi za umma kufunguliwa, hatari sana.
 
Tatzo co wavvu hata posho na mishaara haij kwa wakat utaifurahia kaz yako kwel
 
upload_2016-12-10_15-40-50.png

Dah! Ww umejuaje kàma nmejiunga jana
upload_2016-12-10_15-41-12.png
 
Shelk mkuu alishatangaza kuwa ni mapumziko, watanzania tulivyo wavivu wa kufanya kazi tumefurahia sana siku nne bila ofisi za umma kufunguliwa, hatari sana.
Sio wote wengine ndio tunatoka kazini muda huu
 
Back
Top Bottom