Kumbe Kikwete alikuwa na share Kempinski!? UNESCO walituokoa...

Believe it or Not. Sadiki ukipenda. Hii habari imekaa ki umbeya umbeya.
 
hakuna jipya hapa haya yalishasemwa huko nyuma kwa sasa tunahitaji nyongeza ya tuhuma yenyewe badala ya maelezo. Hata mimi ningekaa chini na kuandika sioni kama ujumbe una mshiko kuonyesha kwamba mtunzi wa tuhuma alizama ndani na kuibua kashfa kwa jk. Hawa ni aina ya wanaharakati wasiotaka kuchunguza zaidi wanaishia kueleza wanachokifahamu au walichokisikia

-mkuu badala ya kupondea ni bora wewe ukaleta hayo mapya yako uliyo nayo,
 
kuingia kwa Jk na kuhusishwa kwake na tuhuma hizo inaweza kuwa inatokana na kelele za kimataifa kuhusu uwekezaji huo lakini kama nakumbuka Jk alitolea ufafanuzi na jumuia ya kimataifa ikaelewa na hasa aliposema kuna upotoshaji kuhusu uwekezaji kule serengeti kwani baadhi ya wafadhili walitishia kupita kiasi
 
mimi naona ni kama hakuna ushahidi wa kutosha katika andishi la mtandao huo bali ni andishi linalotaka kumchonganisha Jk na wananchi. mwandishi alitakiwa kutushawishi zaidi ya hapo ili tuweze kumtia hatiani Rais wetu kama ni kweli
 
mkuu umesoma chini jinsi komando alivyonena?? Ebu tudadavulie au umetumwa kumsafisha mkuu wa kaya?? Tusaidie mkuu au unakuBaliana naye???? Tafadhali tupe ilmu juu ya ilo

JK sio mmiliki wa Kempinski wala Hyatt. Hii nikumpandisha chati sana. Tafadhali google Kempinski uone wenyewe ni kina nani. Wako juu sana.
Ila kama JK ana hisa ASB (T) Ltd, hii sijui, mwenye access na record za BRELA ndio anaweza kuhakiki.
 


kwa malipo ya dola 10,000 kwa mwaka kwa miaka 99).

hapa ndio ninapomchoka mkw ere na kutomwelewa kabsaaaaa anafanya nini huyu kichwa panzi:A S embarassed:mwee!
 
huo ni miongoni mwa mitandao inayolalamikiwa duniani kuwa ni ya kihuni na umejaa taarifa za kihuni ambazo hazijafanyiwa uchunguzi
 
Zungumzia JK kuhusihwa ndiyo thread. Namaanisha kanusha kwa ushahidi kuwa JK hahusiki.
 
Huyu Jk anafikiri watz wa leo ni wa mwaka 1990...soon itakula kwake na mshkaji wake Lowasa.Wametugeuza shamba la bibi..Halafu jana kwenye maadhimisho ya miaka hamsini anauambia ulimwengu " Tuna kazi ngumu ya kukuza uchumi kutokana na kwamba wakoloni walituachia misingi mibovu"
 
mtandao unataka kutuambia Jk hakujua kuwa eneo hilo ni uridhi wa dunia na yeye akajimilikisha kwa kununua hisa!!!!!!!!!! hata kama ni ufisadi sidhani kama Jk ni wa kumrushia kila tuhuma hata nyepesi kiasi hiki
 
Nitampata wapi yule sauper wa filamu ya mapank aje anitengenezee filam inayomuhusu huyu kichwa nazi? Script tayari ninazo. Filam itaanza kwa kuonesha mtoto anazaliwa bila kichwa, madaktari wanahangaika kufanya operation, wanaweka kichwa cha kuku wanatoa, wanaweka nanasi wanatoa, ghafla inapojaribiwa nazi inafit....then inaoneshwa utoto wake, ujana, na mambo yoote aliyoyafanya yanayojulikana na yaliyosirini as anavopenda kuuza sura, atakuwa kinara so atajazia script! Mwenye contact za huyo producer aniPM! Kabaang!

Aisee umeshauza patent hapa, mi nakuwahi naenda kuitengeneza kabla yako!
 
Du alafu JK vipi mbona anawapenda waharabu, kulikoni?

Ukifuatilia kwa makini utaona kwamba awamu ya kwanza na ya tatu zilijaribu kidogo kuwa 'smart' ktk utendaji kazi wake. Ila awamu ya pili na ya nne nazo zimefanana ktk mambo mengi sana. Nadhani Mwinyi na ****** kuna kitu zaidi ya uongozi kinachowasumbua hasa kwa kushikamana kwao na waarabu. Tausi waliuzwa sana na wanyama walisafirishwa sana kwenda uarabuni wakati wa mwinyi na hilo la kushikamana na waarabu ndo limeshika kasi sasa ktk utawala wa m.kwere.

Mwinyi na M.kwere sijui wana ajenda gani na waarabu! Tunasubiri tutajua mwisho wake nini
 
huyu Ali Bawadry ndio yule alimhonga mkuu dola 1000 na zile suti au ni mwingine huyu, nidaidie tafadhali!
siyo kuhonga tu kuna taarifa za kuaminika kuwa alimcamerouni pia si unajua tena arab na tabia zao
 
Back
Top Bottom