Kumbe jiji la Mwanza (the rock city)zuri hivi!!

Liverpool

Member
Dec 8, 2010
29
0
Nimefurahi kufika ktk jiji hili kwani nilikua nikilisoma kwenye ramani na vitabu.nimekubli jiji hili ni zuri la kuvutia,wenyeji wa jiji hli ni wasukuma but pia kuna mchanganyiko wa kabila nyingi.pia utalii wa kutosha nawashukuru wenyeji kwa kunitembeza pia wana JF karibu ktk jiji hl hakika mtaenjoy.
 
wabeja sana.....karibu sana hakika you will never woko alone......mwanza pako bomba ile mbaya!!!

pana kila kitu pale na vitu vinapatikana kwa kirahisi..... hatupitii madirishani kwenye dala dala........mandhali safi sana..

ukiweza uje kunitembelea huku kwenye kisiwa cha saa nane!!!
 
Dah!
Four way kuna SANGARA Mkubwa anatoa maji mdomoni!!!
Ngoja nichonge na hawa wapiga picha nipate ukumbusho.:A S-cry:
Oooh Mwanza is Real BeautifuL.
 
Rock City the place to be. Mwanza uwa inashindana kwa usafi na manispaa ya Moshi,kama si ya kwanza ni ya pili. Mwanza kuna magari maalumu ya kufanya usafi barabarani,yanafanyakazi usiku pale watu na magari yanapokua yamepungua. Mwanza kua mbuga za hifadhi mbili katika visiwa vya Rubondo na Saanane. Kuna makumbusho ya kabila la wasukuma,Bujora. Mwanza kuna chakula cha ukweli,samaki aina mbalimbali kama sato,sangara,furu,nembe,nengu n.k. Mwanza kuna baa iliyo bora kuliko zote TZ,Villa Park iliyopo pembezoni mwa Uwanja wa Mpira wa Kirumba. Na mengineyo mengi. Karibuni Mwanza.
 
QUOTE=spencer;
Four way

Is Fourways Bar still around there? I thought ujenzi wa ghorofa la NSSF ulifanya baa iyo ivunjwe!
 
However,I wonder how comes this thread is post in Jukwaa la Siasa?! Mods where r u at?
 
Hapo Mwanza Meya wa jiji utawala wa MKoa waangalie uwezekano wa kutafuta ka kaboti kadogo( cruise ship) kakufanya utalii kwenye ziwa Victoria.

Kupalilia utalii wa ndani na watu weye uwezo hawawezi kushindwa kulipa 10,000 au 20,000 kuzungushwa masaa kama 6 kwenye visiwa vya karibu. at least once a month

Hivi kile kisiwa cha saa nane kipo?
 
Nilitembelea beach moja Mwanza inaitwa Malaika Beach and Resort ni balaaaa, nikaamini Rock city kiboko!:embarrassed:
 
Yote mnayoyasema ni mazuri,
Lakini hivi inawaingia kichwa Mwanza kutokuwa na Int. Airport?
Mimi nimepita mara kadhaa hapo Airport yaani utadhania ni Bar tu, Shule fulani ya kata, kwa ujumla ni aibu.

Watalii hawa wanafika kwa tabu sana licha kuwa ni gateway pouwa sana ya kutoka na kuingia Serengeti upande huu wa magharibi.
Inawalazima waende Nairobi namaanisha Kenyatta Int. Airport, Sema kweli Serikali hii inauzi kwa hili maana haioni kama maeneo mazuri kama MABUKI tambarare kubwa ukiwa unaelejea Shy. Kwa nini huwa hawalioni hilo???:fish:

N'way mwanza ni Bomba, Ni Safi na inakua kwa haraka sana.
 
Mwanza.jpg

PPF PLAZA-MWANZA

MAJENGO%2520MAPYA%2520NSSF%2520PLAZA%2520-%2520MWANZA%5B1%5D.jpg
NSSF PLAZA
 
Mwanza.jpg

PPF PLAZA-MWANZA

MAJENGO%2520MAPYA%2520NSSF%2520PLAZA%2520-%2520MWANZA%5B1%5D.jpg
NSSF PLAZA
Hapa ungeongezea na picha ya bustani pale round about yenye nembo ya samaki ya Vic Fish,kwani umeitoa kiduchu na ungemalizia na bonge la hotel ambayo kwenye huu ukanda wa EA haina mfano yaani Malaika hotel iliyoko Tunzo beach,mji wa Mwanza si mkyeso dugu,unatisha baada ya miaka 10 itakuwa ni bonge la jiji,naomba mama Tiba asaidie kulifanya jiji la mwanza kuwa la kimataifa ,tatizo naona ni slums za kwenye vilima vya Mwanza kama wata plan vizuri kule vilimani zikajengwa nyumba za kisasa kwa mpangilio kama alivyotaka kufanya Magufuli hakika mwanza itapendeza
 
Pita usiku hapo ukutane na watoto wa wakoma siku moja nisuru wanichane na viwembe,alafu subiri mvua kubwa inyeshe ndo utajua uzuri wa mwanza,tembelea na miji mingine ulinganishe ndo useme..........................................ukirudi ulipotoka jaribu kupitia nairobi ,,,,,,utokee arusha then moshi .............................then pale utapata usafiri wa kukurudisha kwenu............karibu mwanza mwanza
 
Pita usiku hapo ukutane na watoto wa wakoma siku moja nisuru wanichane na viwembe,alafu subiri mvua kubwa inyeshe ndo utajua uzuri wa mwanza,tembelea na miji mingine ulinganishe ndo useme..........................................ukirudi ulipotoka jaribu kupitia nairobi ,,,,,,utokee arusha then moshi .............................then pale utapata usafiri wa kukurudisha kwenu............karibu mwanza mwanza
Heh heh wale watoto wa wakoma noma ni sawa na mbwa mwitu ,na wamekuwa kero kubwa ,lakini naona mamlaka zinazohusika zimelala doro
 
there is no doubt that Mwanza will be a most beautiful city in East Africa by 2015
 
Jamani vipi kuhusu makazi(accomodation) kwa wageni wa siku mbili tatu, namaanisha hotel za nzuri za kiwango cha kati kama ilivyo Dar zinapatikana? Siyo sijui li mwanza hotel
 
Jamani vipi kuhusu makazi(accomodation) kwa wageni wa siku mbili tatu, namaanisha hotel za nzuri za kiwango cha kati kama ilivyo Dar zinapatikana? Siyo sijui li mwanza hotel

Kipipili-Hotel unazozihitaji ziko nyingi sana za namna hiyo. Na bei yake ni ya kawaida sana. Ni kati ya shilingi elfu 15 mpaka 50 kwa usiku mmoja. Teksi dreva yeyote ukimuuliza hapo Mwanza atakupeleka kwenye hizo Hotel.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom