Kumbe Jesca Kishoa alikuwa analalamikia Chadema kutofanya mkutano mkuu ili rufaa zao zisikilizwe

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,761
Alicholalamikia Jesca Kishoa leo ni baadhi ya vyama vya siasa kutofanya mikutano ya ndani kwa wakati jambo ambalo linaminya demokrasia akitolea mfano wa Chadema.

Naibu Spika amemjulisha kuwa mikutano ya ndani inafanywa kwa mujibu wa katiba za vyama husika.

Chadema sikilizeni rufaa za hawa akina mama.

Kazi Iendelee!
 
Ushajiandaa kwenda kupalilia kaburi kule Chattle? Au nyie ndo mashabiki mandazi!? Mwendazake anaumia peke yake huko.
 
Alicholalamikia Jesca Kishoa leo ni baadhi ya vyama vya siasa kutofanya mikutano ya ndani kwa wakati jambo ambalo linaminya demokrasia akitolea mfano wa Chadema.

Naibu Spika amemjulisha kuwa mikutano ya ndani inafanywa kwa mujibu wa katiba za vyama husika.

Chadema sikilizeni rufaa za hawa akina mama.

Kazi Iendelee!
Ujue haukumsikia peke yako!

Amandla...
 
Back
Top Bottom