Kumbe inawezekana;jamani miti inapandwa usiku huu SAMNUJOM RD..

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,955
22,128
Watanzania tuendelee kusali na kuomba mikutano itokee tanzania
kama ulipita asbh ya leo basi nenda kesho abh uone jinsi sam nujoma rd ilivyopendeza ..nimepita usiku huu kuna magari makubwa ma tatu yako sehemu tofauti
yana chomeka miti mizuri iliopendeza nahisi aina fulan ya maua sijui yametokea ikulu

labda kwa hili nawapongeza sana mh lukuvi ila sijui ni mpaka mikutano mingine itokee ndio mnaweka..na je bada ya mkutano mtaleta yale magari kubeba hii miti/maua
bado najiuliza ilikuwa imepandwa nyumban kwa mkuu wa mkoa ama ilikuwa ikulu
ama mtu kala dili fasta shamban mwake ....yaani we acha amka ukaone mwenye

jamani yale mashimo ya lugalo nayo yameanza kufukiwa baada ya baadhi ya washiriki kutumia barabara hii ooh hii neema ilioje...Mungu ashushe mikutano kadri awezavyo jamani
nimeona haya nkasema tuendele kuomba mungu maana nakumbuka barabara ya kinondoni ilifukiwa m ajuzi siku kikwete anakwenda uwanja wa uhuru kuhutubia....pale Bp karibu na nyumba ya ben kulitengenezwa mashimo tuliyoteseka nayo miezi....

majuzi kikwete ameenda kuhutubia kama mliona kwenye gazeti jama wakaenda kuondoa maji kila wakiyamwaga ngoma inarudi mpaka rais anapita yakawarukia ilikuwa ni aibu sana jaman mpaka rais apite...mh embu pita basi siku moja na NELSON MANDELA RD JAMANI labda yale mashimo nayo yatapona
 
Hehehehe
WEF ni mkutano wenye manufaa sana kwa Tanzania only if nchi imewaandaa watu wake vyema. Hii yakuishia kuuza vinyago kwa mtindo wa maonesho haisaidii hata kidogo. Watu waandaliwe kunyakua fursa zinazokuja na mikutano kama hii.
Nalidhani mama nagu ameshafanya kila awezalo kuwaandaa watu wa kukamatana na waekezaji na siyo kuwaachia wawekezaji wakiingia ubia na WAKENYA kuja kuwekeza bongo
 
Tatizo kila k2 kimaslahi zaidi. Wao wawezao kupiga mapande na kuwaconnect wazawa na foreign investors hawawezi fanya hivyo kiuzalendo mpaka wawe na kauhakika ka kunufaika individually na ushirikiano husika kama utafanikiwa kuwapo
 
mkutano huu ulikuwa unapangwa maofisini na mkazo ulikuwa kwenye mambo ya kuofisi zaidi, naona kuelewesha watanzania katika njia ambazo wangeelewa hawapendi sana, kwani maswali yasiyojibika ni mengi sana.
bora kustukiza hivyo hivyo.
Watanzania tunaelekea pabaya,
 
Tanzania:
GOING

GOING

GOING

GONE!!!!!!

ITA HAS GONE TO................................
 
Sam Nujoma Rd sasa utadhani ni Cranshaw Boulevard....Kweli mgeni njoo mwenyeji apone...Ahh halafu wenyeji wengine wanataka kuharibu kwa mgomo...
 
Hahahahaaa. Isije ikakauka mara baada ya mkutano. Shida yetu ni maintainance. Jana nimekutana na wajasiriamali washaanza kutembeza batiki, kila mtu anazo 3 pieces, afu mkononi! Hata kama manufaa yatakuwepo ni kidogo sana!
 
Sam Nujoma Rd sasa utadhani ni Cranshaw Boulevard....Kweli mgeni njoo mwenyeji apone...Ahh halafu wenyeji wengine wanataka kuharibu kwa mgomo...
halafu ndo mpaka polisi waamue kugoma kupiga watu watakaogoma na kuandamana nadhani itakuwa mgeni njoo uone!
 
Sam Nujoma Rd sasa utadhani ni Cranshaw Boulevard....Kweli mgeni njoo mwenyeji apone...Ahh halafu wenyeji wengine wanataka kuharibu kwa mgomo...
.
Hata mimi nimeona, for the first time in my life, nimeshuhudia mti mkubwa umeng'olewa mzima mahali unakujwa kupandwa mahali hivyo hivyo mzima mzima, sio tuu ili kupendezesha eneo husika, bali pia kuwaonyesha wageni tulikuwa tumejipanga vizuri tangu zamani, maana miti hiyo ina umri wa zaidi ya miaka 10!.

Ama kweli mgeni njoo mwenyeji apone, hata hili la kupanda miti na kupendezesha mandari kumber ni mpaka aje mgeni!.

Ila pia nimeikubali hii teknolojia ya kuhamisha miti mizima mizima, imevunwa mahali kwa ustadi mkubwa, imeng'olewa na mizizi yake yote na pande lake la udongo ili kuzuia isife, naomba usisikie bei ya kila mti, yaweza fika milioni!. Hii ndio Bongo yetu.
 
Yeah - Miti ina umri kuzidi barabara! Yaani wajenzi wa Barabara walikwepa miti!
 
hahaha...wadau mmenivunja mbavu! Kweli bongo tambarare! Mngetupa twasira kidogo basi...
 
Tanzania ni sawa na familia isiyo na hulka ya usafi - bali hukumbuka kufagia nyumba kama kuna wageni. Inasikitisha
 
waombe mvua isinyeshe tu itaaribu kila kitu barabara zitajaa maji hadi wageni washangae
 
.
Hata mimi nimeona, for the first time in my life, nimeshuhudia mti mkubwa umeng'olewa mzima mahali unakujwa kupandwa mahali hivyo hivyo mzima mzima, sio tuu ili kupendezesha eneo husika, bali pia kuwaonyesha wageni tulikuwa tumejipanga vizuri tangu zamani, maana miti hiyo ina umri wa zaidi ya miaka 10!.

Ama kweli mgeni njoo mwenyeji apone, hata hili la kupanda miti na kupendezesha mandari kumber ni mpaka aje mgeni!.

Ila pia nimeikubali hii teknolojia ya kuhamisha miti mizima mizima, imevunwa mahali kwa ustadi mkubwa, imeng'olewa na mizizi yake yote na pande lake la udongo ili kuzuia isife, naomba usisikie bei ya kila mti, yaweza fika milioni!. Hii ndio Bongo yetu.

Pasco ngoja nikukumbushe... Sheraton mwaka 1995 walipanda miti hii ya Royal Palm kwa mtindo huu huu.
Millennium Towers pia ... Walifanya hivyo mwaka 2003 yes Mti mmoja wa (Royal Palm)ukiwa mchanga una-cost 40,000 mpaka 60,000/- sasa hiyo mmoja utakuwa 1M mpaka 1.2M...
 
katika kijijji hichi ch dunia yote yawezekana, ni mipango tu.
 
Tuombee utokee mkutano mwingine wa aina hii ufanyike maeneo ya kigamboni ili daraja la kigamboni lijengwe chap chap
 
mwenzio anapanga kuupeleka bagamoyo mktano ujao we unawaza kigamboni....polee kushauzwa uko
watanzania wakapigwa mchanga wa macho kununua mwisho wanaambiwa kuna site za kikwete/lowassa/rostam amuwezi kuchanganyika mtafidiwa
lioh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom