Kumbe inawezekana, India waandamana na kusababisha Bunge kusimamisha shughuri zake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe inawezekana, India waandamana na kusababisha Bunge kusimamisha shughuri zake

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by matongo manawa, Aug 16, 2011.

 1. m

  matongo manawa JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau kituo cha tv ya magamba kimerusha taarifa saa mbili
  usiku kuhusu maandamano ya kihistoria nchini India yaliyo
  sababishwa na kukamatwa kwa mwanaharakati anayeheshimika
  nchini humo,
  Mwanaharakati huyo mwenye umri wa miaka 74 anapinga ufisadi
  na amegoma kula mpaka serikali itakapokuwa tayari kuptisha
  mswada wa kupambana na ufisadi.

  Baada ya kukamatwa wananchi wa India ktk miji mkubwa mitatu
  wamefanya maandamao makubwa na kupelekea bibi kiroboto
  wa bunge la huko kusitisha shughuli za bunge.

  Kazi kwenu watawala wa bongo,fungueni macho mnapoona
  mambo haya yanatokea ninyi mnaendelea na sarakasi za
  umeme na mafuta,kupora rasilimali km ardhi siku yaja hasira
  za mbayuwayu zitawawakia nanyi mtajificha kwenye magamba
  na gamba halitawasaidia.

  Nivyema mkasikia vilio vya watu wenu ikiwa ni pamoja
  na kupambana na ufisadi km wa meremeta,tangold,kagoda na ule unaofanana na wa jairo,pamoja na ufisadi mbaya wa
  demokrasia ikiwa ni pamoja na ufisadi mliouanzisha bungeni
  ufisadi wa kanuni na mwongozo wa spika.

  Wakati ni huu.
   
 2. K

  Karry JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  haya bana napita tu
   
Loading...