Kumbe ilikuwa ni kupoteza upepo wa kompyuta za DPP

Akili Sina

JF-Expert Member
Jan 18, 2018
301
2,218
Duuh kweli kuna watu wanajua kutengeneza movie.....Ila hii ya saivi kidogo mmeipatia tofauti na zile nyingine......saiv wala husikii tena wakihoji habari za kompyuta kuibiwa.....Watu wanatunga movie alafu wanajifanya wanatoa eti tetesi.....
 
Kuna mahali ifike tuendelee kupambana na harakati za maisha kutafuta riziki.

Iwe ni kweli zimeibiwa au hazijaibiwa, hatuwezi kubadili kitu.

Iwe ilikya sinema au sarakasi, bado napo hatuwezi kufanya chochote.

Tukuamua kuwa watu wakutulia, kutumia akili hata wao wataabadili mikakati yao.

Hizi kelele ndio zinafanya uvumi, tetesi na ujinga ujinga kuendelea kushamiri.
 
Kukaa kimya sio suluhisho.....Suluhisho ni kupambana .......usife huku umepiga magoti
 
Hivi aliyewaambia data za ofisi za kiserikali huwa zinakaa kwenye computer ni nani???! Data zote huifadhiwa kwenye servers ambazo huwa zina multiple back ups katika nchi mbali mbali, ingekuwa hivyo mbonma tungeshaenda kuiba laptop za bodi ya mikopo ili data zipotee??? Tumieni akili basi, hivyo kuiba laptop ni kujidanganya kwamba data zitapotea...
 
Kina Nyerere wangekuwa na mawazo mgando km yako tusingepata Uhuru!

Tuanzie EPA, Escrow, Kuuzwa nyumba za serikali, Kulalamikia tume, Kudai utawala bora, sijui bunge mubashara, Manunuzi ya ndege bila kupitishwa na bunge, kupigwa marufuku mikutano ya kisiasa, kupotea kwa watu n.k mitandao na kelele za mitandaoni ziliwahi kusaidia chochote?

Mmeshaambiwa computer zimeibiwa, kelele za mitandaoni zitabadilisha chochote?
Mbunge kashambuliwa, hakuna kesi inaendelea, kanyang'anywa ubunge, kelele za mitandaoni zimesaidia chochote?

Soma msingi wa hiyo kauli yangu umeanzia wapi.
 
Back
Top Bottom