Kumbe Igunga shwari hivi...

Dah, nimeipenda hii, siasa si ugomvi, hata hivyo wanasiasa woote wanaondoka baada ya kampeni na uchaguzi huu, wao wanabaki na Igunga yao na maisha yao kama zamani.
 
IGUNGA kipindi cha miaka 50 iliyopita ndio hiyo je itabadilika sasa miaka hii 4, ama wajinga ndio waliwao, Mtoto akichezea wembe mpe, wamepewa , wenyewe hao JIJINI , vilio na kuomba misaada ingojeni, vinginevyo,AMKENI wakati wenu huu. Ahadi kemkem mmepewa Budgeti ipi wakati TANZGIZA inaongezewa Deni la Dowans,Poleni wajameni nawtakuwa kila lenye heri kwenu.
 
ndo inatakiwa iwe hivyo, tuwahukumu watu kwa sera na matendo yao (wahusika siyo kila shabiki wa chama husika)!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom