Kumbe huyu ndio Mamy Baby wa Clouds FM

Licha ya kua na sauti nzuri,mdomo mbayaa kuliko wa Mond,Mamy nampenda kwa kitu kimoja tu ana swagg alafu anajua sana kutembea,yaani ana miondoko mizuri sana!
Haa Haa
Mkuu
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Mungu Hakupi Vyote, Wala Hakunyimi Vyote
Ila Ni Pisi Kali Amewakilisha Tabora Vema
 
Huyu She' saivi ndio kaiva ..kipindi anatangaza radio 5 aise alikuwa msela sana, mapigo za kichalii kabisa halafu kakondaaa ..ila saiv dah atakuwa amenisahau kabisa
Ila radio 5 Arusha imetoa vipaji vingi Sana aiseeee hebu hawa wakifanikiwa wawakumbuke hawa waajiri wao WA zaman radio 5 maana imewatoa saana
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom