Mbaliche JF-Expert Member Jul 6, 2011 294 61 Sep 29, 2011 #1 utakufa maskini kufuatilia maisha ya watu. Fasta fasta unaingia kuchungulia jitu zima huna haya!
Moseley Senior Member Jul 10, 2010 187 94 Sep 29, 2011 #2 Mbaliche said: utakufa maskini kufuatilia maisha ya watu. Fasta fasta unaingia kuchungulia jitu zima huna haya! Click to expand... Jiheshimu!
Mbaliche said: utakufa maskini kufuatilia maisha ya watu. Fasta fasta unaingia kuchungulia jitu zima huna haya! Click to expand... Jiheshimu!
Mbaliche JF-Expert Member Jul 6, 2011 294 61 Sep 29, 2011 Thread starter #3 Moseley said: Jiheshimu! Click to expand... wenzako wame chungulia na kurudi kimyakimya wee ndoo unajifanya kauzu co!
Moseley said: Jiheshimu! Click to expand... wenzako wame chungulia na kurudi kimyakimya wee ndoo unajifanya kauzu co!
Wambandwa JF-Expert Member Dec 3, 2006 2,249 830 Sep 29, 2011 #4 Mbaliche said: utakufa maskini kufuatilia maisha ya watu. Fasta fasta unaingia kuchungulia jitu zima huna haya! Click to expand... Uko baa nini kama mimi, karibu Breakpoint ya mjini, ukifika nibip bill yoote kwangu, au nitamwambia huyu binti anayenihudumia akuhudumie,
Mbaliche said: utakufa maskini kufuatilia maisha ya watu. Fasta fasta unaingia kuchungulia jitu zima huna haya! Click to expand... Uko baa nini kama mimi, karibu Breakpoint ya mjini, ukifika nibip bill yoote kwangu, au nitamwambia huyu binti anayenihudumia akuhudumie,
pascaldaudi JF-Expert Member Mar 25, 2009 534 96 Sep 30, 2011 #5 Afadhari mie sijakujibu kitu, nimekaa kimya!!
V valid statement JF-Expert Member Sep 18, 2011 2,851 868 Sep 30, 2011 #6 hah hah hah...hujatulia hata kidogo
Fabolous JF-Expert Member Sep 23, 2010 2,509 2,695 Sep 30, 2011 #7 matumizi mabaya ya JF! na wewe unajiita eti Great thinker shame on you .