Ni jambo la kushangaza sana kufanywa na chama tawala kinachojivunia kuwa cha Kidemokrasia.
Juzi nilikutana na wakala wa CCM kwenye uchaguzi katika maongezi yetu akaniambia kuwa katika semina ya mawakala wa CCM kwenye uchaguzi wanafundishwa kuwa wakati ukiwa kwenye chumba cha uchaguzi hasa wakati wa kuhesabu kura, ukiona muelekeo kuwa CCM inashindwa wakala anatkiwa ajitoe muhanga kwa kuchukua chombo cha kuhesabia kura na ukimbie nacho askari hatawezo kukukimbiza hasa ukiwa wewe ni CCM.
Hi itafanya uchaguzi uvurugike ili urudiwe au uendelee wakati umeshakimbia nazile kura na upinzani wale wa upinzani wakijaribu kukudhibiti wanashughulikiwa na polisi na baadaye inaripotiwa kuwa virugu za sababisha kasoro kenye uchaguzi either uchaguzi unaairishwa wakiamini ushinda kwenye marudio kutokana upinzani utakua wamekata taamaa baada ya misukosuko ya polisI.