Kumbe HIV ni silaha ya kibayolojia iliyotengenezwa Marekani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe HIV ni silaha ya kibayolojia iliyotengenezwa Marekani!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kithuku, Oct 27, 2008.

 1. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2008
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Leo nimebahatika kukutana na habari inayomhusu Dr Boyd Graves, mtaalamu wa kimarekani aliyeamua kufichua siri kuhusu jinsi serikali ya Marekani ilivyotengeneza virusi vya HIV kwa malengo maovu. Hadi sasa amefungua kesi kulazimisha serikali itoe nyaraka zote za siri za mpango huo ili umma wa wananchi na wanasayansi wazione na kuzifanyia kazi kutokomeza UKIMWI. Baadhi ya nyaraka hizo anazo mwenyewe, ikiwemo "flowchart" ya utengenezaji wa virusi hivyo ya mwaka 1971. Katika kesi za awali, serikali iligoma kuachia nyaraka hizo ambazo ni "siri".

  Kama hapa anasema:
  The 1971 Flow Chart is the blueprint for the development of AIDS. It is the quintessential missing link document which provides absolute proof of the U.S. origin of HIV/AIDS. It is located in one of the 15 progress reports of the federal program entitled “The U.S. Special Virus Cancer Program.” I believe the term “cancer” was a misnomer to misdirect the actuality of the HIV development. It provides, again, absolute, absolute evidence of the U.S. origin of HIV as a synthetic biological agent.

  Ametoa pia maelezo ya kitaalamu kuwa kwa muundo wake, HIV imekusudiwa kuangamiza watu wasio wazungu, kama anavyoeleza hapa chini:

  However, any cursory review of the U.S. Special Virus Program—the 15 progress reports—would show conclusively that, indeed, HIV is synthetic. It has been developed over a number of years and it has an affinity for people of color. But the research here, as reflected on my website, NEWS Releases: Dr. Boyd E. Graves' Research & News Archives 1999 - 2008, is as extensive as I can possibly make it, so that our people can see the totality of the other side of the development of this agent.

  Namna virusi hivyo vinavyoweza kushambulia zaidi wasio wazungu ni kama ilivyoelezwa kitaalamu zaidi hapa chini (ambako mie kwa kweli nimetoka "kapa", watakaoelewa naomba wanisaidie nami niweze kuelewa hii sayansi):

  What the science and medical evidence concludes is that the HIV enzyme seeks out a receptor site in the blood of the Black genome. The receptor site is the CCR5 Delta 32+ (positive) gene that all people of color have. In the same sense, on the other end of the spectrum, is the 15 percent Caucasian population of the world, which is CCR5 Delta 32-(negative) gene. That means that under no circumstances, whether HIV came through the air, intravenous drug usage or any form of the sexual activity, would the virus be transferable in this sector of the world’s population, which is basically of northern European descent.
  It is speculated by some experts that, in a worse case scenario, 85 percent of the world’s population could potentially perish under these designer viruses and designer synthetic biological agents. What we’re looking at here—because of this identified gene of the Black genome, this CCR5 Delta32+ (positive)—we are potentially looking at the eradication of all people of color.

  Maelezo zaidi yako kwenye tovuti yake aliyoitaja hapo juu. Wakubwa hii kitu imekaaje? Ninyi pia mliwahi kuisikia, na je ni nini maoni yenu? Ningefurahi sana kupata maelezo ya wataalamu wa fani ya tiba na mambo ya bayolojia, na of course wadau wa masuala ya usalama jinsi kitu kama hii inavyowezekana kuwepo, na kama kuna kitu wataalamu wetu wanaweza kufanya.
   
 2. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2008
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Sijui watu wanasemaje, hiyo delta positive na Negative nimetoka kapa. Lakini mbona wazungu pia wanapata AIDS?
   
 3. M

  Mama JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  what goes around comes around.
   
 4. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #4
  Oct 27, 2008
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Na wanakufa sana vilevile! Hilo ni changa la macho, msikubali kupotezewa dira. Ukimwi unazuilika japokuwa hautibiki, take care!
   
 5. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2008
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Vipi wanaoupata kwenye ajali ya gari, treni NK?
   
 6. K

  Koba JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2008
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  ...anything is possible,kama waliweza kuwawekea weusi virusi katika majaribio yao TUSKEGEE basi hili linawezekana na 1971 Nixon the republican was president...i just dont trust republican,maana hata Reagan,Dick Chenney,Bush etc supported apartheid big time na walimwita mandela terrorist na wamewafanyia weusi mambo mengi sana ya kishenzi ila glad sasa and hope Republican party soon will be gone maana the entire new generation hawaelewi policy zao na wanawaona kama evil tuu!
   
 7. deny_all

  deny_all JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 428
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
 8. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  HIV was observed and documented well before 1971, what account for that?
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Oct 27, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mayn, one thing for sure, two things for certain. Either get your facts straight, or shut up and get the hell on up outta here...
   
 10. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2008
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  These guys are terrorist number one and thats why they hate other guys who want to pay them back and they blind fold the rest of the general public. Every stone will be turned and the filthy doings revealed. It is time they will be shocked and cry to death!!!!
   
 11. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #11
  Oct 28, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kithuku msomi kama wewe na mwalimu kama wewe bado una mawazo haya ? Hii ni hatari sana hata kwa wanafunzi wako unaowafundisha sijui mnafundishana nini
   
 12. M

  Mama JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  haka katabia kako hukaachi tu, kila siku unakatazwa mtoto gani usosikia. Rekebisha kauli yako.
   
 13. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #13
  Oct 28, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hapana msomi kama huyo hawezi kuleta mada kama hiyo hapa tuijadili -- afute na aombe radhi sasa tuko katika wakati mwingine wa kimaisha na kitekilologia

  ujue ukweli -- undelea kuishi
   
 14. M

  Mama JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  you know everything eeh? dont you, whats wrong with that Mr Know All Best
   
 15. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2008
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Ndiyo hapo jamaa anakuambia kuwa hiyo sijui ndio delta gani kwa wazungu iko katika 15% ya population, kwa hiyo risk yao ni ndogo kulinganisha na wengine. Bado nina hamu ya kupata mchango kutoka kwa watu wa hii fani ya bayolojia ama tiba niweze kuelewa uzuri hii kitu.
   
 16. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2008
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Mkubwa fani zetu wengine kidogo ziko nje ya details za hii mada, lakini naamini wako wanaoweza kutupa hoja za kisayansi zaidi tuwepo kwenye msimamo mzuri. Hata hivyo hoja yangu kubwa si kuwa ukimwi hauzuiliki, bali iko kwenye chanzo cha HIV, kwamba ni silaha ya kibayolojia na siri zake wamarekani wanazo. Dr Boyd Graves anadai wakilazimishwa kuziweka hizi siri hadharani, basi hata mbinu ya suluhisho ya kudumu iko humo ndani ya hizo siri wanazoficha.

  Huwa najitahidi kuyaelewa haya mambo ya afya hasa yanayotugusa wengi kama ya UKIMWI, lakini ikifika kwenye undani kama huo aliotoa Dr Boyd Graves, huwa naona bora nijichunge nisije nikaingia kwenye ule mtego wa Thabo Mbeki aliyejaribu kushindana na wanasayansi wa sayansi hizi. Mimi pia ni mwanasayansi wa sayansi yangu, ingawa pale Mlimani walikuwa na tabia mbaya ya kusema ya kwangu ni "ngwini", lakini ni sayansi kwa maana ya neno hilo.

  Kwa watu wa fani husika, does Dr Graves' accusation or explanation of HIV make any sense, I mean is it plausible? And does it offer any true hope of getting a lasting solution? Tuseme mahakama ikiamuru kweli serikali ikaachilia hizo taarifa, itaweza kusaidia medically zaidi ya kuweka tu historical records right?
   
 17. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2008
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Hebu someni na hii

  Neville Hodgkinson, 'AIDS; The Failure of Contemporary Science' Fourth Estate, London UK 1996, 420 pages, ISBN 1-85702-337-4.
  --------------------------------------------------------------------------
  In this paradigm-shattering investigation into the origins of the HIV theory, Neville Hodgkinson offers a serious scientific challenge to the belief that AIDS is caused by a lethal new virus.

  When AIDS was first reported, two principal schools of thought developed about its origins. One, which gained the strongest currency, held that AIDS was caused by a deadly microbe - the Human Immunodeficiency Virus - and that, because of a long time-lag between infection and disease, millions of people around the world could be facing death. The other theory maintained that an accumulation of infections and other assaults on the body led to the breakdown of immune responses as seen in AIDS. For over ten years, Hodgkinson argues, the former theory has been slavishly adhered to, not because it is correct but because the virus theory offers something concrete to fight against, from which people can gain scientific renown, pharmaceutical profit and, most tenaciously of all, hope. Debunking the myth, Hodgkinson presents a detailed analysis of the inadequacies of the 'HIV test', disclosing evidence that, from its inception, scientists have recognised that the test was flawed - the 'virus' the test is supposed to detect has proved impossible to isolate in a routine way. He demonstrates that genuine hope lies in shedding the illusions and distortions that have grown up around a failed hypothesis.

  In this incisive appraisal of the 'AIDS industry' Hodgkinson not only unravels the conflicting scientific theories, he also draws on the stories of the dissident and heroes who have tried to swim against the tide of opinion on HIV and AIDS: Michael Callen and Jody Wells, who lived long and productive years after their AIDS diagnosis (precisely because, they believed, they resisted the medical treatments endorsed by the virus theory); medics and scientists such as Joe Sonnabend and Professor Duesberg who were frozen out by their professions for keeping non-HIV approaches alive.

  The resulting picture is a sometimes frightening indictment of medical stubbornness and a fascinating argument for a radical rethink of science's observational methods, checks and assumptions. The changes arising from such a new stance could bring enourmous benefit not only to AIDS patients but to the whole of medicine and indeed to the role of science in society.

  From 1985-9 Neville Hodgkinson reported on AIDS as medical correspondent of the Sunday Times. From 1991, as the newspaper's science correspondent, he wrote a series of highly controversial questioning reports based on the arguments of some groups of scientists and experts who were seeking a reappraisal of the HIV theory. He is the author of Will to be Well - the Real Alternative Medicine.

  Neville Hodgkinson, 'AIDS; The Failure of Contemporary Science' Fourth Estate, London UK 1996, 420 pages, ISBN 1-85702-337-4.
   
 18. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2008
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
 19. Lusajo

  Lusajo JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2008
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 451
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kuna mambo mengi sana ya kisayansi yanafanyika duniani. na wanasayansi lazima wayajaribu kwa watu.
   
 20. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #20
  Oct 29, 2008
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Mkuu Ng'azagala umenimaliza kabisa na hiyo link uliyotuwekea, nimeisoma na kuishiwa nguvu. Kumbe Bwana Thabo Mbeki alipoibuka na madai yake hakuyaota usingizini! Na hapa zinapotokea hoja zinazokinzana kama hizi, ndipo wenzetu wa sayansi "ngumu" wanapotuhitaji sisi wa sayansi "laini" tuwasaidie kwa "qualitative methods" za kuchambua mbivu na mbichi. Hapa kilichobaki itangazwe tu tenda tukusanywe "mangwini" kadhaa tutulie na haya malitrecha yote mahali tuyachambue, nina uhakika tunaweza kutengua hiki kitendawili kama hiyo HIV ni "hoax" wanavyodai au la. Lakini kwa habari kidogo nilizo nazo ni kuwa hiyo virus ya HIV kweli ipo, na mgunduzi wake kapewa Nobel Prize mwaka huu. Labda huo ubishi kama inasababisha UKIMWI au la, ambao bado nahisi ni njama tu za wazungu ambao wanajifanya kufumbia macho ukweli kuwa waafrika kwa mamilioni wanazidi kufa kwa UKIMWI mwaka hadi mwaka! Pengine hawa ni katika wale "watuhumiwa" wa utengenezaji wa hiyo virus ndiyo wanaokuja na maelezo ya kutupoteza "maboya"!
   
Loading...