Kumbe hii ndio bei ya Rolls Royce

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
9,199
2,000
hiyo hela ya PJ bora angeshea na wananchi hata hospital ama shule ya sanaa.

RR lenyewe halijabamba wala nini sababu watu wengi sisi ni masikini tunaona kama anatuzingua.
kwa migari ambayo aliishakuwa nayo wala halikuwa na haja.
Mkuu kila mtu anastyle ya maisha yake na ndoto zake ni sawa umuambie Ronaldo asinunue audi48 badala yake iende kumsaidia wagonjwa huko ureno kuna kipindi utasaidia watu kuna kipindi utajijenga wewe binafsi Mbona diamond anasaidia Sana tu watu
 
Bulesi

Platinum Member
May 14, 2008
12,464
2,000
duh! Kuna watu Wana hela ile mbaya maana hapo ni kama 1.4B kwa hela za kitanzania bado hapo kodi ya TRA kwa namna hii ninaweza kuamini Diamond anaweza kununua ndege kama alivyosema kuwa mwaka Huu ataleta private jet yake

Msidanganyike hizo ni promo zao kujikweza kuwa wana hela ili nyie mafala muwaogope wakina Salam!!
 
Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
7,731
2,000
Kama kanunua gari la 1.4B anashindwa vipi kununua private jet?
Private jet vile vidogo kabisa bei ya chini kabisa ni dola million 2 ambayo ni sawa na billion 4.6.
Lakini hivi ni vile vya single engine kwa mbele na vinapakia abiria wanne pilot included. ukikaa ndani unajibana kama upo kwenye guta.
Hiyo sawa, ila akitaka ile comfortable kabisa ya kupigia picha hapo aandae minimum doll million 10 hadi 12 ambazo ni sawa na Bilioni 23 hadi 25.
Na Diamond hana hata nusu ya hiyo pesa.

So angekuwa ameshanunua maana wanavyopendà sifa, si unakumbuka RR.
 
Hata hiyo RR watu wengi ukiwemo mimi kuwa hawezi kuinunua lakini the end of the day kainunua ni suala la muda tu
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
25,917
2,000
Safi sana, watu wanapenda kupangia matumizi ya watu wakati wao wenyewe hawajawahi hata kuchangia mfuko mmoja wa simenti kwenye ujenzi wa hizo shule!
unajuaje mkuu,mbona ugonjwa huu nawewe unao na una laumu wengine!!!

mapenzi kwa mtu yakizidi hata mtu akimkosoa au kumshauri wewe unapata maumivu na kuhisi uchungu,sasa mimi nampangiaje diamond matumizi wakati hata hanioni!!!
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
25,917
2,000
Private jet vile vidogo kabisa bei ya chini kabisa ni dola million 2 ambayo ni sawa na billion 4.6.
Lakini hivi ni vile vya single engine kwa mbele na vinapakia abiria wanne pilot included. ukikaa ndani unajibana kama upo kwenye guta.
Hiyo sawa, ila akitaka ile comfortable kabisa ya kupigia picha hapo aandae minimum doll million 10 hadi 12 ambazo ni sawa na Bilioni 23 hadi 25.
Na Diamond hana hata nusu ya hiyo pesa.

So angekuwa ameshanunua maana wanavyopendà sifa, si unakumbuka RR.
pale kuna kundi la machawa na makunguni kazi ni kusifia tu.

diamond labda anaweza kutoa $3 mln,kufanya anachotaka ila kununua ndege ni mawazo ya hao jamaa anaowalisha hapo kwake.ambao ukiwaandikia wanakwambia usipangie watu matumizi.

kama ni brand ile RR inatosha sana.
 
Therealmike25

Member
Apr 15, 2022
59
150
Iyo ni ya Dubai mkuu zile za minada mpya haishikiki yani kama ni kweli amenunua iyo b na ushee lzm ingekuwa 0km pia ipo na maganda yake na Diamond tunavomfahamu asingeweza kukaa kimya bila kujivunga ame import rolls Royce 0km lazm angejimwambafy tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom