Kumbe Heslb Haitoi Asilimia Bwana! Dah,..! Cheki Hapa Ujue Ki2 Kuhusu Mkopo Wa Heslb | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe Heslb Haitoi Asilimia Bwana! Dah,..! Cheki Hapa Ujue Ki2 Kuhusu Mkopo Wa Heslb

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Arnold Ndosi, Sep 29, 2012.

 1. A

  Arnold Ndosi Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nimegundua Kwa Heslb Haikutoa mkopo Kwa Asilimia Kama ilivyojinadi yenyewe kwamba ingezingatia asilimia,0,10,20,30,40,50,60,70,80,90 na 100.
  Course Yangu Ni Shlng 1.3mls Wamenipa Mkopo Sh.3797500.nilipoenda Chuo Leo,udsm,nimeoneshwa Orodha iliyo onesha majina ya wanafunz wa sjmc nami nikiwemo,kiwango cha ada walichokopeshwa na ada wanayodaiwa kwa mwaka.mimi nimekopeshwa ada miln1 na ninadiwa laki 3 kwa kila mwaka. ukipiga hesabu vizuri utaona ni asilimia sabn na point kadhaa!!
  hii imekaaje wadau?
   
 2. Z

  Ze Blessed Senior Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata mimi nilizipata hz taarifa ila sua wazinguaji sana, so inakuaje kuhusu hzo hela walizokupa bod?
   
 3. S

  Suma mziwanda kageye JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  machoko hao
   
Loading...