Kumbe Hela zilizofichwa ndiyo hizi

Iliposemwa kuwa kuna watu wameficha hela, watu walipinga sana (Mimi nikiwa mmojawapo) lakini sasa imedhihiri kwamba Noti na Sarafu za shilingi mia tano tano (Jero) hazipo kwa wingi wa kutosha mitaani na bila shaka kuna watu wamezificha kwa faida yao binafsi, na hao ndiyo wa kushughulikiwa.

Kuna watu wameficha mia tano tano!!

Wamekutuma lumumba?
 
Nipo mkuu ila jamaa yenu kasababisha kati ya kununua kifurushi cha Intaneti na kula kwa mama ntilie iwe ni kitendawili kinachotumia lugha tata!!
Hakuna mabadiliko chanya yoyote ambayo huja kiulaini kama unavyotaka. Hata nyumbani kwako ukitaka ufanye mabadiliko na kupiga hatua kiuchumi lazima utafanya maamuzi fulani magumu! Ambayo yataumiza lakini yatakua ya muda wa mpito. Nilichojifunza katika awamu hii ya tano
 
Back
Top Bottom