Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,192
Unaambiwa vyombo vya dola vilishaenda kumchukua kumpeleka kolokoloni kwa ajili ya kujibu tuhuma za kulisababishia Taifa hasara kupitia baadhi ya mikataba ya madini aliyoingia wakati akiwa Waziri akiiwakilisha Serikali.
Inasemwa mzee Mwinyi aliombwa na mmoja wa Viongozi mkuu mstaafu aende kumbembeleza JPM asifanye hivyo kwa sababu ya kumlindia heshima kwa sababu kwa vyovyote vile Karamagi angemtaja boss wake.
Inasemwa Karamagi alishajipanga kumtaja aliyekuwa kiongozi wake kama ndiye aliyemruhusu kuingia mikataba ile na yeye kama Waziri asingekuwa na uwezo wa kukataa maelekezo ya boss wake.
Ukweli ni kwamba JPM alipingana na mzee Mwinyi kuhusu kumlenga mkuu wa zamani wa mhusika bali lengo alitaka mhusika akajibu yeye kama yeye tuhuma zile baadae Jaji mkuu wa kipindi kile alimshauri JPM asitishe nia yake hiyo kwa sababu kwa vyovyote vile ilikuwa ni lazima mamlaka za uteuzi wa Karamagi zingeguswa na hiyo kesi jambo ambalo katiba ya Nchi inazuia.
Kumbukeni gesi iliyopo Mtwara Tanzania si ya Watanzania.
Nb: Huenda ndiyo JPM alikufa kifo chema!