Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,369
- 217,429
Beberu mkubwa wee !!!!
Someone needs to stop this man ASAP. He is about getting everyone messed up.we are screwed as a country, Johny boy is probably thinking that he can implement those policies much better than mwalimu, but the results will surprise him and it will be too late.
tusihofu sana.aliyeanzisha miradi hii ataisimamia mpaka ikamilike.tukiona haijakamilika chakufanya ni kumwongezea muda wa kukaa madarakani.shida iko wapi?
And we will all pay the price, all of us regardless of ones political affiliationwe are screwed as a country, Johny boy is probably thinking that he can implement those policies much better than mwalimu, but the results will surprise him and it will be too late.
Mkuu huyu mzee ni Kama kazidiwa maarifa na waliomzungukaAlipoizuia mifuko ya jamii isitishe uwekekezaji kwenye majengo na kuielekeza iwekeze kwenye viwanda nikadhani ana akili nzuri, kumbe alikuwa anazitolea macho fedha zao azielekeze kwenye aina ya ujenzi inayompendeza yeye.
Mifuko ya jamii ilikuwa inawekeza kwenye majengo ambayo yalikuwa yawe integrated kwenye private economy moja kwa moja na waanze kurudisha pesa zao, sasa yeye kodi yenyewe halipi alafu anajenga Ikulu kwa fedha nyingi akalale humo na familia yake.
tusihofu sana.aliyeanzisha miradi hii ataisimamia mpaka ikamilike.tukiona haijakamilika chakufanya ni kumwongezea muda wa kukaa madarakani.shida iko wapi?
Mimi nilitamani wakati wao wanahangaika kumuondoa prof kwenye nafasi yake na sisi wananchi tungekuwa tunahangaika kuwaondoa madarakani,yaani ingekaa poa sanaAnapitia njia zilezile alizopita JK.
JK alipoingia madarakani na swahiba wake manywele walianza na mbwembwe za kutaka kuwa front page kwenye magazeti kila siku asubuhi.
Wakalazimisha waandishi wa habari wawafananishe na mahayati Mwalimu Nyerere na Edward Sokoine, nikajua hawa watu ni wehu na watachemka, haiwezekani watu wazima wanakenua meno kufananishwa na wafu.
Wakajikita kwenye kunyooshea vidole mapungufu ya utawala wa Mkapa, huku wakifurahia Sumaye Kuitwa Zero na kulalamikia rushwa na umasikini, Kikwete akidai nilazima mikataba ya madini ipitiwe na nyumba za serikali zirudishwe, ni zama hizo ndio tukafumbuliwa macho namna kipenzi cha mkapa bwana magufuri alivyokuwa mla rushwa na mzinzi huku fukuza fukuza za maofisa wanaokaribia kustaafu zikishika hatamu, enzi hizo Lowasa alikuwa anasimamisha misafara yake barabarani kusalimia wananchi na ghafla waandishi wa habari wanatokea from no where anaanza kuongea kwa kufoka na kufukuza kazi watumishi wa halmashauri huku akisitisha mikataba mbalimbali na makontractors tofautitofauti mbele ya kamera za waandishi wa habari.
Fumua fumua kwa maelezo ya kurekebisha makosa ya utawala uliopita ikatapakaa kila kona ya nchi, wakuu wa wawilaya na mikoa,wakurugenzi wa taasisi za uma na vitengo nyeti vya serikali na mihiri ya Taifa walikuwa wanabadirishwa kila siku huku shutuma nzito zikiwafuata nyuma kwenye magazeti kila kukicha.
Nakumbuka namna upepo wa Jakaya ulivyoondoka na Spika wa Bunge tukaletewa Mzee Sitta na tambo zake za Standard and Speed, Mikataba ya uendeshaji wa Shirika la ndege, DAWASCO n.k kupitiwa na kufumuliwa kila kukicha.
Kila kona ya nchi maelezo yakawa ni kwamba nchi inanyooshwa.
Mara ghafla, paaaaaaaaaaaaaaaa RICHMOND ikaibuka, upepo ukabadirika, Jakaya akapoteza ujasiri, ukichangia na kukosa watu wa kufukuza sababu wote walikuwa ni wateule wake akakimbilia nje ya nchi, Akitoka Kenya anaenda kuzunguka nchi za ulaya, akirudi asubuhi kesho jioni anaenda Marekani, Aibu. Matokeo nchi ikapoteza muelekezo.
Huyu nae ni hivyo hivyo, kafanya mbwembwe weeeeeeeeeeeeeeeeee hatimae paaaaaaaaaaaaaaaa CAG kamuumbua, serikali yake imejaa rushwa na uzembe, kama richmond ilivyozaliwa Ikulu yeye kuna ufisadi wa zaidi ya trilioni 2.4 mpaka sasa anahangaika kuuficha.
SI mpaka awe nayo ndo azidiwe?Mkuu huyu mzee ni Kama kazidiwa maarifa na waliomzunguka
Shusha Tanga Pandisha Tanga..Acha kuokoteza habari bloomberg,wanatumika tu
Tafuta vyanzo toka website ya world bank
Kiazi mbatata kingine hiki!Inaangamia baada ya kubanwa ufisadi wako? Sasa si wewe chukua nchi ili ubadirishe tuwe na maendeleo zaidi!!
Do you really know who the IMF represents?Do you also know who Bloomberg represents?Find out,you will swallow your words.Other risks to East Africa’s second-biggest economy include “delays or little progress in improving fiscal management” and rushed public investments that may not have a high rate of return, according to a copy of the IMF report that was seen by Bloomberg.
Acha consipiracies, Tanzania is a member of IMF and all our past administrations have been adhering to their reporting and transparency responsibilities except the current one.Do you really know who the IMF represents?Do you also know who Bloomberg represents?Find out,you will swallow your words.
So intriguing!Anapitia njia zilezile alizopita JK.
JK alipoingia madarakani na swahiba wake manywele walianza na mbwembwe za kutaka kuwa front page kwenye magazeti kila siku asubuhi.
Wakalazimisha waandishi wa habari wawafananishe na mahayati Mwalimu Nyerere na Edward Sokoine, nikajua hawa watu ni wehu na watachemka, haiwezekani watu wazima wanakenua meno kufananishwa na wafu.
Wakajikita kwenye kunyooshea vidole mapungufu ya utawala wa Mkapa, huku wakifurahia Sumaye Kuitwa Zero na kulalamikia rushwa na umasikini, Kikwete akidai nilazima mikataba ya madini ipitiwe na nyumba za serikali zirudishwe, ni zama hizo ndio tukafumbuliwa macho namna kipenzi cha mkapa bwana magufuri alivyokuwa mla rushwa na mzinzi huku fukuza fukuza za maofisa wanaokaribia kustaafu zikishika hatamu, enzi hizo Lowasa alikuwa anasimamisha misafara yake barabarani kusalimia wananchi na ghafla waandishi wa habari wanatokea from no where anaanza kuongea kwa kufoka na kufukuza kazi watumishi wa halmashauri huku akisitisha mikataba mbalimbali na makontractors tofautitofauti mbele ya kamera za waandishi wa habari.
Fumua fumua kwa maelezo ya kurekebisha makosa ya utawala uliopita ikatapakaa kila kona ya nchi, wakuu wa wawilaya na mikoa,wakurugenzi wa taasisi za uma na vitengo nyeti vya serikali na mihiri ya Taifa walikuwa wanabadirishwa kila siku huku shutuma nzito zikiwafuata nyuma kwenye magazeti kila kukicha.
Nakumbuka namna upepo wa Jakaya ulivyoondoka na Spika wa Bunge tukaletewa Mzee Sitta na tambo zake za Standard and Speed, Mikataba ya uendeshaji wa Shirika la ndege, DAWASCO n.k kupitiwa na kufumuliwa kila kukicha.
Kila kona ya nchi maelezo yakawa ni kwamba nchi inanyooshwa.
Mara ghafla, paaaaaaaaaaaaaaaa RICHMOND ikaibuka, upepo ukabadirika, Jakaya akapoteza ujasiri, ukichangia na kukosa watu wa kufukuza sababu wote walikuwa ni wateule wake akakimbilia nje ya nchi, Akitoka Kenya anaenda kuzunguka nchi za ulaya, akirudi asubuhi kesho jioni anaenda Marekani, Aibu. Matokeo nchi ikapoteza muelekezo.
Huyu nae ni hivyo hivyo, kafanya mbwembwe weeeeeeeeeeeeeeeeee hatimae paaaaaaaaaaaaaaaa CAG kamuumbua, serikali yake imejaa rushwa na uzembe, kama richmond ilivyozaliwa Ikulu yeye kuna ufisadi wa zaidi ya trilioni 2.4 mpaka sasa anahangaika kuuficha.
Acha kutumia neno UCHAGUZI, na vitu vya kipuuzi,wakiita nchi zinazofanya chaguzi TZ, utaiweka???? Yaani Israeli wao wauite uchaguzi na wetu eti uitwe uchaguzi?!! Nyumbu wanaingia kwenye chumba cha kupigia kura wananyakua ballot boxes, wanakimbia nazo tena kwa msaada wa walinzi wao¡! Wanaya najisi halafu yanarudishwa tena ndani na zoezi linaendelea!!!!Wewe tulia. Sasa hiyo si ndiyo itakuwa ajenda yako ya 2020 ili ushinde uchaguzi uchukue nchi?
Ni sawa na kuwa na kipato cha 5000 kwa siku halafu unakuwa na bajeti ya 50mKwa mfano,ujenzi wa Ikulu ya Chamwino ni wazi umetumia fedha nyingi sana.Ukifika pale Chamwino ukiona tu ule ukuta unaweza kuishiwa pozi na humo ndani ujenzi bado unaendelea.Yaani ukiangali tu kwa nje,unapata picha kuwa ujenzi huo unagharimu fedha nyingi sana.
Ukuta licha ya kuwa mrefu kwenda juu,mzunguko wake ni km za kutosha maana eneo lilichokuliwa ni kuwa mno na huko ndani inaonekane ujenzi bado unaendelea wa baadhi ya majengo/ofisi kwani kuna maeneo ukuta haujafunga maeneo ambayo ni wazi zitakuwa sehemu za mageti na ni katika maeneo haya yaliyo wazi, ndio unaweza kuona japo kidogo na kwa mbali ujenzi unaoendelea humo ndani.
Hii ni mbali na kujenga mji wa serikali hapo Dodoma katika eneo la Mtumba.Miradi imekuwa mingi ya gharama kubwa na inatekelezwa ndani ya muda mfupi badala ya kuifanya kwa awamu huku mapato ya nchi yakiwa hayaendani na haya matumizi makubwa na matokeo yake ni kukopa kwa kiasi kikubwa na kubabdili matumizi ya mafungu kwenye miradi mingine.
Shida ipo Ila ninyi CCM hamna akili ya kuona hata tembo. Pushups Sikh hizi hazifanyiki na mjinga unasema shida iko wapo. A matter of time.tusihofu sana.aliyeanzisha miradi hii ataisimamia mpaka ikamilike.tukiona haijakamilika chakufanya ni kumwongezea muda wa kukaa madarakani.shida iko wapi?
Which "typical blunders which culminated to the 1980's national economic crisis" can you share for us to make an informed comparison with the current regime?Typical blunders which culminated to the 1980's national economic Crisis under Mwalimu's presidency.
Hapa natoa saluti.Alipoizuia mifuko ya jamii isitishe uwekekezaji kwenye majengo na kuielekeza iwekeze kwenye viwanda nikadhani ana akili nzuri, kumbe alikuwa anazitolea macho fedha zao azielekeze kwenye aina ya ujenzi inayompendeza yeye.
Mifuko ya jamii ilikuwa inawekeza kwenye majengo ambayo yalikuwa yawe integrated kwenye private economy moja kwa moja na waanze kurudisha pesa zao, sasa yeye kodi yenyewe halipi alafu anajenga Ikulu kwa fedha nyingi akalale humo na familia yake.
Nyapara ya barabara isiyoelewa chochote eti mnaipa Urais wa NCHI?Kwa mfano,ujenzi wa Ikulu ya Chamwino ni wazi umetumia fedha nyingi sana.Ukifika pale Chamwino ukiona tu ule ukuta unaweza kuishiwa pozi na humo ndani ujenzi bado unaendelea.Yaani ukiangali tu kwa nje,unapata picha kuwa ujenzi huo unagharimu fedha nyingi sana.