Kumbe hawana maamzi!!!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,577
8,596
Hivi kumbe wanawake wengi hawana maamzi nafaragha zao hasa swala la uvaaji wa kondom hawawezi kumwambia mwanamume avae kondom ujikuta wameshaishiwa nguvu na kumwachia mwanamume atoe maamzi!!
 
Hauko mbali na ukweli, mimi mwenyewe yalinitokea nilipoanza uhusiano na Mr. miaka mingi iliyopita sijui siku hizi baada ya elimu hii
 
Nawanaume uwatega kwaneno moja ingiza mwenyewe uingiza bila hata kuuliza mbona unakondomu na akiuliza uuliza wakati imeshapotelea!nakwasauti hii mbo-mbo-naa uja ujavaaa ash.....hata kutamka neno kondom hushindwa!hapo inaonyesha elimu ya ukimwi inabidi ipelekwe kwa wanawake zaidi kutokanana wao kutokuwa na mamuzi juu ya wapenzi wao.
 
Hauko mbali na ukweli, mimi mwenyewe yalinitokea nilipoanza uhusiano na Mr. miaka mingi iliyopita sijui siku hizi baada ya elimu hii

Hebu twambie alikutegaje??mbaka ukadu bila ya ndomu??:redfaces:
 
Hivi kumbe wanawake wengi hawana maamzi nafaragha zao hasa swala la uvaaji wa kondom hawawezi kumwambia mwanamume avae kondom ujikuta wameshaishiwa nguvu na kumwachia mwanamume atoe maamzi!!
ndo maana wanasema eti mwamme ni kiini cha mabadiliko...!!wanajijua hao!
 
Eeeehh Mungu tusaidie. Tanzania bila ukimwi inawezekana.
 
Ni kweli hasa, na hata wakikubali kondom goma linapokolea ukiwaambia unavua hawana jinsi
 
Hivi kumbe wanawake wengi hawana maamzi nafaragha zao hasa swala la uvaaji wa kondom hawawezi kumwambia mwanamume avae kondom ujikuta wameshaishiwa nguvu na kumwachia mwanamume atoe maamzi!!

Kweli, wanawake wengi ni waoga sijui kutokujiamini, hawawezi kuthubutu kuzungumzia kuvaa kondom.

Ila kuna wachache ni balaa, niliwahi kupata mnyalu mmoja, dah haangalii sura, alikuwa ananivalisha mwenyeweeeeee! hataki mchezo binti wa watu.
 
Back
Top Bottom