Kumbe hawa wanawake hupewa hizi sumu za kuua taratibu na mama zao na bibi zao

Kuna mwl jirani yangu hapa Nzela Geita jimboni kwa King Musukuma, alipo oa mke wa pili mke mkubwa hakupenda alitaka kum'block jamaa asikanyage huko hivyo alienda kwa Bibi mmoja si nduguye kumwomba dawa ya kutekeleza hilo Jambo ndipo akapewa dawa ya kuweka kwenye mboga jamaa akala ndani ya wiki mbili akalazwa Nzela health center siku tatu akapelekwa hospital ya mkoa Geita akapewa refferal ya bugando huko nako akapewa refferal ya Muhimbuli kabla safari haijaanza akafariki.

Jamaa alikufa kwa maumivu makali Sana kwani tumbo lilivimba Sana kumbe ini lilikuwa limevimba likawa gumu mithili ya jiwe mishipa ya damu ikafunga likaoza, baadae ikaja kufahamika kwamba mke hakuwa na nia mbaya ila Yule Bibi ndiye alimfanyia mtima nyongo bibie analia hadi leo maana aliachiwa watoto watano na wote ni wadogo jamaa tulishafukia about 8 yrs now
 
Lo! Paragraph nzima ni sentensi moja!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom