Kumbe hawa wanawake hupewa hizi sumu za kuua taratibu na mama zao na bibi zao

Jana Ulirudi Usiku

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
2,363
2,261
Hatupo salama hata kidogo! Juzi kati nilifuma post poja huko FB ya mwanamke akitoa lawama na kuomba ushauri kuhusu kuchelewa kurudi, kifupi ni kupishana kauli na mumewe.

Jamani wanaume! Masikini sisi!

Kuna mmoja akamuambia kuwa 'mtafute bibi yeyote au mama yako na umuambie akupe sumu inayoua taratibu' ili uepuke hizo kero, kikubwa tu uwe jasiri'.

Na hilo group ni la Wapalestina. Jamani nyie akina mama mkwe kumbe ndio waratibu wa haya mambo? Jamani tuwe makini.

Nasikia ile kitu ukipewa tu after one year you are done. Yaani unakufa taratibu mzee! #TuweWaangalifuMno hakuna kuwachekea chekea hawa mama mkwe, wengi wauaji sana!
 
Simu hizo zipo mfano kichwa cha nyoka wa kijani aina ya black mamba ukikikausha kisha ukakisaga kikawa unga.

Ni sumu inayouwa polepole ndani ya mwezi lazima ufe. Na kifo chake kinatokea kwa mtu kutapika vitu vyeusi Kama damu vile hapo ni sumu imeshafanya kazi yake.

Hii design niliifahamia sehemu inaitwa Ukerewe Mwanza huko. Huko ukiwa unajifanya mjanja unatembea na wake za watu halafu unajichanganya Kwenye bar au klabu za pombe watakutaimu wakupe hiyo sumu hata kwa kuwatumia wahudumu
 
Mkuu ulikuwa huwajui ma chief advisor wa hawa wake zetu kuhusiana na kamati za ufundi ni kina nani? mama, bibi, shangazi, dada mkubwa.... hawa wote wapo vizuri kwenye mambo ya kamati ya ufundi.
Daaah nimeshajua, kumbeee!
 
Sasa na sisi tukiweka sumu kidogokidogo kwenye chips yai itakuwaje?
Mkuu sio kuweka sumu kidogokidogo.

Bali ni kwamba kuna aina ya sumu ukiwekewa kidogo au hata nyingi maramoja tu yenyewe inaanza kukuzuru kidogokidogo hadi unakufa inaweza kuchukua wiki na zaidi ndio unakuja kufa
 
Id yako yenyewe havipishani na unacho andika, hivi kwa akili ya kawaida mke au mume mlioona na mkazaa wa watoto, uje umuue kisa kuchelewa kurudi.

Labda kama yupo mwenza ana mtindio wa ubongo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom