Kumbe hawa "Mwema" si chochote, ona hapa mwenyewee

Columbus

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
2,002
648
Hawa jamaa wakitumiwa vizuri hawana shida tatizo ni pale wanapotumiwa vibaya na wao wamekula kiapo lazima wafuate maagizo wanayopewa.
 
377202_364829316926254_330306101_n.jpg
Mkuu Mbuzi Mzee Mimi bado sijakuelewa chochote kile umekusudia kitu gani maneno yako haya nanukuu (Kumbe hawa "Mwema" si chochote, ona hapa mwenyewee)?
 
anajaribu hizo gadi za magoti kama kweli zinaweza kumsaidia,kama ambavyo wanatest mabom na bunduki kwenye miili ya watu
 
Mkuu Mbuzi Mzee hapa nimekukubali. Wanaweza ku-mwangosi raia wema tu lkn hawana ukamanda wowote.

Wanashindwa hata na mateja
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom